Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
JE WAJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU UTAKACHO KATIKA KANUNI ASILI YA MAUMBILE? - SEHEMU YA PILI Leo katika mwendelezo wa mada hii, tutaangazia Kanuni nyingine ya Hermes. Katika sehemu ya kwanza...
12 Reactions
9 Replies
2K Views
Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu na za mda huu,jumapili iliyojema na yenye kutulia kuna hoja ya msingi hapa. Vitabu vya dini vinasema kuwa MUNGU aliumba dunia kwa siku 6 na siku ya 7 akapumzika, 1. Msingi wa Hoja...
1 Reactions
2 Replies
340 Views
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo: 1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru...
14 Reactions
352 Replies
71K Views
Habari wakuu! Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa sana. Kumekuwa na tungo...
22 Reactions
281 Replies
87K Views
Huruma Si Malezi Kumpenda mtoto haimaanishi kumuachia kila kitu au kumuogopa akilia. Kuna wazazi huamini kuwa kila kosa la mtoto litapita likisahaulika kwa kumbembeleza, kumkingia kifua au...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Sehemu ya Kwanza Tarehe ya kuzaliwa uwa inabeba taarifa zote muhimu kuhusu maisha ya muhusika na hii ni kwa mujibu wa elimu ya namba (Numerology). Katika hatua ya mwanzo nitaanza kwa kuzungumzia...
26 Reactions
362 Replies
80K Views
Habari za wakati huu jamiiforums. Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau" Mnamo...
30 Reactions
123 Replies
29K Views
Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona...
43 Reactions
205 Replies
34K Views
Ngoja nikupe mfano kwa kitu nachotaka ku share nawe hapa. Chukulia wewe ni mfanyakazi ambaye tuseme ni msaidizi wa CEO wa kampuni ya AB. Kila kitu kuhusu AB ,mipango ,waajiri pamoja na shughuli...
24 Reactions
84 Replies
6K Views
UKATILI KATIKA MALEZI Katika sayansi ya saikolojia ya ukuaji wa mtoto, kuna ukweli mmoja usiopingika: mtoto huchukua sauti ya mzazi wake kama sauti ya dunia. Anaposikia matusi badala ya busara...
7 Reactions
5 Replies
590 Views
Thanatophobia ni neno la kitaalamu lenye maana 'hofu ya kifo' (fear of death). Ukweli ni kuwa watu wengi kama sio karibu wote wanaogopa kufa. Baadhi wanaogopa ile hali ya kuwa mfu wakati wengine...
19 Reactions
66 Replies
12K Views
ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara...
1 Reactions
0 Replies
531 Views
Hii project ambayo tupo inaitwa humanoid project
4 Reactions
9 Replies
674 Views
Awali ya yote hii mada inawahusu wenye kuamini uwepo wa mungu, Napenda kuwasalimu enyi viumbe wenye asili ya udongo hamjambo? Hivi mnajua kuwa asilimia kubwa ya kizazi chetu tumejaa lawama...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
TOLEO MAALUM – APRILI 2025 JE, KUNA DALILI ZA MAKUSUDI ZA KUHUJUMU UTHABITI WA TAIFA LETU? Katika kipindi ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa za kimkakati katika ujenzi wa miundombinu...
2 Reactions
9 Replies
782 Views
Mates,Moja kati ya maswali ambayo hua najiuliza kila siku ni je ikitokea leo nikaondoka je jamii iliyonizungukai tanikumbuka kwa yapi? Je dunia itanikumbuka kwa lipi/jambo lipi nililoitendea? au...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Mnamo 1972, mwanasayansi wa Ufaransa alijifungia kwenye pango la giza totoro futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180. Hakuna mwanga. Hakuna saa. Hakuna mawasiliano ya kibinadamu. Alitaka kufichua...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Melkizedeki ni nani? Neno la Mungu linatuambia katika 1Timotheo 3:16 kuwa “bila shaka siri ya utauwa ni kuu.” Au kwa lugha rahisi Neno hili tunaweza kusema “bila shaka siri ya Uungu ni kuu; Hii...
14 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali...
12 Reactions
85 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…