Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

  • Redirect
heshima kwenu wakubwa wangu ktk jf. kuna jamaa yagu aliwahi nisimulia kisa cha mwanamke mmoja simba ulanga na mwenzie mohammed toroha kuwa ndio watu walionzisha wizi wa mapesa katika mabenki hapa...
0 Reactions
Replies
Views
Bwana huyu ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu cha Delft (Delft University of Technology) na mfanyakazi wa kampuni ya kijerumani iitwayo Orca Exploration ambayo ipo Tanzania. Ametokea Oman ambapo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Othman una kazi kweli, kama mnapoteza muda kufuatilia tunaosoma mkataba badala ya kuwafuatilia akina Balali wasituibie pesa zetu BOT? Kutoka gazeti la Mwananchi. Serikali yaonya wanaosambaza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu wana JF hebu tuangalie naomba suala lazima la utumiaji wa tafiti zetu tunazozifanya hapa Bongo. Katika upeo wangu na mlolongo wangu wa kutafuta elimu nimekumbana na tafiti nyingi sana na...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
By ThisDay Reporter & Agencies POLICE in Barcelona, Spain have busted an international drug trafficking gang after...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baada ya utafiti kuonesha kwamba rushwa nyingi/kubwa kubwa zilikuwa kwenye manunuzi(Procurement of public goods and services) ya umma, serikali iliamua kuanzisha sheria ya Manunuzi, Public...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Caught on Tape: Selling America's Secrets Rare Video Obtained By "60 Minutes" Shows Pentagon Employee Selling Secrets to Chinese Spy YouTube- Defense Department Official Caught On Video...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na kipindi katika BBC 4 kikionyesha uozo wa TAZARA reli ambayo kidogo watanzania wanajivunia lakini uozo wa humo umenifanya nijiulize kama TAZARA (Freedom Railway) ni hivi, TRL...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni tena! Kuna habari nyeti ambazo zimefichwa kwenye nakala hii ambapo ukiipata siyo tu utashangaa lakini hautaamini kama tunachoshuhudia ni kitu chenyewe kweli au ndio mazingaombwe! Habari...
0 Reactions
85 Replies
14K Views
Kwako, mkuu wa TAKUKURU, - Kamishna wa Bima - Uhamiaji - Wizara ya Mambo ya Ndani.. KUMEKUWA NA WIMBI LA UFISADI NDANI YA SEKTA YA BIMA LIKIJUMUISHA MA-TX WANAOFANYA KAZI KATIKA KARIBU...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu mradi wa kuuziana nyumba sio tu kuwa uliingiza serikali hasara, bali kama alivyosema mwandishi Katabazi, ni ulikuwa ni ufisadi wa aina yake. Ni wakati umefika kwa bunge/ serikali kulichunguza...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
Somaiya speaks out on Tanzania gov't scandals Monday, 28 April 2008 By Daniel Said EA BUSINESS WEEK DAR ES SALAAM, TANZANIA - In a new twist, a top businessman in Tanzania, Mr. Tanil...
0 Reactions
43 Replies
17K Views
Speaker Bio: Diane Kohn is a lawyer, serving as an anticorruption advisor in the Crime Office of the INL Bureau. Diane’s portfolio includes work in Africa, APEC, Latin America, the G8, and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu WANA JF? Je ni kweli huyu jamaa ana asili ya Rwanda au ni jina tu la kibantu,kwani amekuwa akitajwa kuwa na mafanikio makubwa sana hasa kwenye utumishi wa umma wakati wa kipindi chake...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
SIKU YA ASTEROIDI Siku ya asteroidi inaadhimishwa kila mwaka tarehe 30 Juni. Siku hii ya kimataifa ilanzishwa mwaka 2014 na wataalamu na wanaharakati wa astronomia na kuidhinishwa na Umoja wa...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
KUNA CHA KUJIFUNZA KWA PYTHAGORAS Huenda hukusoma sana, lakini ulimaliza darasa la saba. Basi hiyo inatosha. Inatosha sana kwa wewe kukutana na kitu kinaitwa " Pythagoras theorem"!! Hukumbuki? Je...
15 Reactions
44 Replies
8K Views
Kuna vitu nilivisikia tangu kipindi kirefu nyuma lakini bado hadi Leo sijapata kujua undani wake zaidi(vitu vyenyewe hususani ni maeneo kama) 1.Bermuda triangle 2.pyramid of Egypt 3.Area 51...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale. Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa...
0 Reactions
169 Replies
31K Views
  • Redirect
Nashauri serikali itumie teknolojia ya drones kuweza kuwatambua wauaji wa Kibiti. Teknolojia hii ya drones ni rahisi haina gharama kubwa, kikubwa ni kusimika kituo au base ambayo itapokea taarifa...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…