TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Wakuu,
Salaam!
Mara kadhaa nimesikia watu mbalimbali hasa watu wa dini wakizungumzia kuhusu ulimwengu unaoitwa wa roho!
Sijaelewa hasa nini maana ya kitu hiki.
Kwamba kuna ulimwengu mwingine nje ya huu wa kawaida?
Huo ulimwengu hukoje?
Una nini?
Nani ana ushahidi wa wazi kuhusu ulimwengu huu wa roho na si kuishia tu kwenye nadharia.
Msaada tafadhali.
CC: Mshana jr.
Rakims