Personality: Machiavellianism

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,829
1,958
Machiavellianism

Ni haiba ya watu ambao wanapitia migongo ya watu kufanikisha malengo yao. Ni watu ambao watafanya kila wawezalo ili kuwashinda wenzao au kuwatumia wenzao kufanikisha mambo yao.

Sifa za hawa watu kwanza hawana unyenyekevu, wanaamini wenye maadili ni maskini na wanyonge, wanaamini ni bora kuchukiwa kuliko kupendwa.

Watu hawa hufanikisha mambo yao kwenye taasisi au nchi yenye sheria legelege. Sio rahisi kwao kufanikisha mambo yao kwenye nchi yenye sheria kali.

Hawajali maumivu wanayoyaacha baada na wakati wa kutekeleza malengo yao. Watu wa aina hii ni wa kuwaepuka sana wako tayari kuona wenzao wakipoteza maisha ilimradi wapate credit.

Watu wengi wenye haiba hii ni wanasiasa na viongozi wa taasisi mbalimbali. Ni watu wa kuwaepuka kama inawezekana, hawana rafiki wa kudumu kwa hiyo wanauwezo wa kumgeuka mtu siku yeyote.


Machiavellianism

Is a personality trait involving willing to manipulate others for one’s own purposes.

Machiavellianism approach: do whatever is required to defeat others or gain an advantage over them.

The following are the guiding principles of Machiavellianism:

· Never show humility; arrogance is far more effective when dealing with others.

· Molarity and ethics are for the weak; powerful people feel free to lie, cheat and deceive whenever it suits their purpose

· It is much better to be feared than loved

If they are willing to do whatever it takes they would tend to be successful. High Machs tend to be quite successful in the kind of organizations that are loosely structured (organization with a few rules)

aid891649-v4-728px-Understand-Machiavellianism-Step-10.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom