Neno umefungwa haimanishi upo gerezani ila Ni jinsi gani fikra zako hazitoki njee ya (unayoyaamini) kutokana na sababu flani. Sababu hizo hueza pelekea kuwa mshabiki pekee bila kuhoji au kuhitaji...
Neno umefungwa haimanishi upo gerezani ila Ni jinsi gani fikra zako hazitoki njee ya (unayoyaamini) kutokana na sababu flani. Sababu hizo hueza pelekea kuwa mshabiki pekee bila kuhoji au kuhitaji...
Je! Umewahi kufikiri kwamba rangi inaweza kutumika kama njia ya mateso? Inaonekana, ni. Ukatili wa Chumba cha cheupe unachukuliwa kuwa mojawapo ya aina nyingi za hatari za akili. Ingawa njia hii...
Heko kwenu wadau,
Wakati fulani nilipokuwa nasoma kitabu cha THINK LIKE A CHAMPION kilichoandikwa na Raisi Donald J. Trump nilisoma mahali fulani ambapo aliitaja hii namba 1.6180339887 kama...
Sun Tzu alikuwa kamanda wa jeshi na Mwanafalsafa wa kichina enzi hizo china inatawaliwa na maemperor.
Siku moja Sun Tzu akamwambia mtawala (tumwite mfalme) kuwa, mtu yoyote anaweza kuwa...
Katika bibilia Mungu amendika kwa Vidole vyake mwenyewe Mara nne.
1: Alipoandika Amri Kumi kwa mara ya kwanza.
2: Musa alipozivunja zile mbao, Mungu Alizirudia tena na kwa mara ya pili.
3...
Habari jf..nimekua nikiona maandiko mbalimbali kuhusu Hawa viumbe wanaosadikika kwa jina la aliens..Na nikiwa najiuliza je ni kweli Wana exist??? Kama wapo ni ndan au nje ya Dunia?? Najiuliza pia...
1 light year(distance) = 1 year time
Kama umbali kutoka Galaxy moja hadi nyingine ni 65 light years, kwahyo Aliens waliopo kule wakiangalia duniani bado wanaona Dinosaurs walioishi miaka million...
Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.
Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana...
Udsm in chuo kikubwa na sifa yake kubwa ni kupata bahati ya ukumbi wake maarufu wa lecture Nkruma hall kuwa kama. Nembo ktk noti ya tsh.500
Pia wahitimu wa chuo hicho ni kama uhitimu na kozi ya...
Ukizunguka mjini siku ya Ijumaa Jioni na Jumamosi Utaona sehemu kubwa ya maduka yamefungwa kama sehemu ya imani yao na watu
wengi kukiri waumini hao wamekuwa wengi kuliko walokole ambao siku za...
Habari za majukumu wanajamvi? Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika. Naomba ufafanuzi wa maswali mawili kuhusu mwezi.
1. Kwanini huu mwezi ambao ni duara kuna kipindi huwa unaonekana...
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.
Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale...
MUSA KWA MAELEZO YAKE ALIOKOTWA AKIWA MDOGO AKAISHI KWA PHARAO ALAFU AKAWA MKUBWA .... AKAENDA KUWAKOMBOA WAMISRI.....
KUKAA KWA PHARAO HUYU JAMAA ALIKUWA ANAJUA MENGI SANAAAAA... NAISI KUNA...
Mamlaka ya duniani yanamwakilisha Muumba na sharti yAheshimiwe,ukisema tusitoke nje itakuwa sababu umewekewa nguvu duniani na mbinguni malaika wanajua,sababu umeapa,sasa Why uogope kuidhinisha...
Bahati ilioje waziri was mambo ya ndani mh.Kangi Lugola aliwahi kuwa afisa was ngazi za juu wa polisi atakuwa analijua hili.
Polisi wengi wanatumia simu za tochi sasa watazuiaje makosa ya...
Wataalamu wa maswala ya anga wametabiri kwamba ifikapo mwaka 2022 kutatokea na nyota mbili kugongana na kulipuka na kuwa muunganiko wa nyota moja ambayo ni nyota ya "Rednova".Athari yake...
Habari zenu..
Kuna watu wawili nimewaexperience katika maisha yangu....
Mmoja ni kaka yangu na mwingine ni Dada mmoja aliwahi kuwa bosi wangu..
Watu hawa muda mwingi wamekuwa wakilalamika kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.