Kuwa mwenye bahati kwa kuonja mvinyo(wine),kuona ndege Tausi,Simba,Chui na Tembo pia karibisha mzungu akutembeleapo

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Nilipomuona ndege tausi anachanua mkia kwa Mara ya kwanza ndipo nilipo dhibitisha ukuu wa Mungu kwa uzuri wa ndege huyo,haonyweshwi vizuri ktk video au Picha hapo wameshindwawachukua video,pia chui ilikuwa Tabora
Ktk game reserve yao jirani na kitete hospital

Pia nikaja kuona Simba ktk maonyesho ya 77 dar es salaam,nikaapa nikasema kama Samsoni alipambana na kiumbe hiki basi Mungu yupo,simba anavyoonakana kwenye luninga ni tofauti,Simba ni bmkubwa na hapo Mungu ndio kadhihilika Uwezo wake

NbWazungu huja kuona wanyama kwani wanajua bahati iliyopo Ukimuona Simba,chui,tembo au tausi

IPO nguvu unayopataunapowaona kwa Mara ya kwanza,chui ana mapaja makubwa yaliyojishindilia vyema,si wa kuomba kukutana nae kwani kamwe huwezi kumshinda,simba ndio usiseme fanya juu chini uwaone
Ombi maliasili mtembezeni Simba na chui mikoani

Mvinyo,mapadri huonja mvinyo kwa kuwa wanajua bahati take, wazungu wengi huonja bilauri moja kabla ya kwenda kazini na ULAya wanapambana kuzalisha zabibu,hapa Bongo hulimwa jijini Dodoma

Nilionja mvinyo kwa Mara ya kwanza nilipokuwa na miaka saba na uliletwa na Afisa Usalama Mzee Maganga mwenye Bahati gesti house Tabora jirani na police centre ilikuwa aina ya Dodoma wine tamu,inalewesha na nilikunywa glasi moja

Kupokea wazungu ikiwa watakutembelea,mwalimu Nyerere alipendelea Kuwaita wakubwa,wao husoma nyota na kujua nyakati,humfuata MTU hata kijijini ndani ndani kabisa, mapema kabisa kabla hajawa nyota kwa kuwa wao hujua, japo Bongo wapo Mfano George Ngelea afisa mifugo Meatu

Nb;viongozi tembeleeni Kikombo dodoma mkaone jina LA dodoma lilipoanzia sababu ya tembo kuzama ktk sehemu hiyo,mpaka leo IPO,

Instagram:kaukwaju IMG-20180827-WA0000.jpg IMG-20180827-WA0001.jpg
 
Tausi, Simba, Chui, Mvinyo ulitaka kutujulisha nini mkuu?
Mvinyo hata Mungu kauongelea ktk vitabu vyake na hata huko Peponi tutakutana nao ni kweli kiburudisho tosha kinaamsha akili kinakufanya uwe na furaha zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haloperidol
Ningekueleza kwanini madawa ya kulevya yanakatazwa na siri zake ktk kuonyesha ukuu pia kwanini baadhi ya dawa huwa na ulevi ila hurusiwa wachahe tu(starehe ya wakubwa)ikiwemo hiyo na kwanini jani limeruhusiwa baadhi ya nchi kama tiba na Nisehemu yake
 
Nilipomuona ndege tausi anachanua mkia kwa Mara ya kwanza ndipo nilipo dhibitisha ukuu wa Mungu kwa uzuri wa ndege huyo,haonyweshwi vizuri ktk video au Picha hapo wameshindwawachukua video,pia chui ilikuwa Tabora
Ktk game reserve yao jirani na kitete hospital a
Pia nikaja kuona Simba ktk maonyesho ya 77 dar es salaam,nikaapa nikasema kama Samsoni alipambana na kiumbe hiki basi Mungu yupo,simba anavyoonakana kwenye luninga ni tofauti,Simba ni bmkubwa na hapo Mungu ndio kadhihilika Uwezo wake

NbWazungu huja kuona wanyama kwani wanajua bahati iliyopo Ukimuona Simba,chui,tembo au tausi

Ombi maliasili mtembez3ni Simba na chui mikoani

Mvinyo,mapadri huonja mvinyo kW kuwa wanajua bahati take, wazungu wengi huonja bilauri moja kabla ya kwenda kazini na ULAya wanapambana kuzalisha zabibu,hapa Bongo hulimwa jijini Dodoma

Kupokea wazungu ikiwa watakutembelea,mwalimu Nyerere alipendelea Kuwaita wakubwa,wao husoma nyota na kujua nyakati,humfuata MTU mapema kabisa kabla hajawa nyota kwa kuwa wao hujua, japo Bongo wapo,Mfano George Ngelea afisa mifugo Meatu

Nb;viongozi tembeleeni kikombo dodoma mkaone jina LA dodoma lilipoanzia sababu ya tembo kuzama ktk sehemu hiyo,mpaka leo IPO,

Instagram:kaukwajuView attachment 847980View attachment 847981


Nimekuelewa japo uzi wako umekosa mtiririko mzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom