Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

N

Nazareti

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Messages
413
Likes
437
Points
80
N

Nazareti

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2016
413 437 80
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Likes
5,717
Points
280
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 5,717 280

Who cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.
Kama ni hivyo basi South Africa ichukue kuanzia Capetown mpaka ziwa Nyassa maana ilikuwa himaya Takatifu ya Mfalme Shaka.
 
N

Nazareti

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Messages
413
Likes
437
Points
80
N

Nazareti

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2016
413 437 80
Who cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.
Kama ni hivyo basi South Africa ichukue kuanzia Capetown mpaka ziwa Nyassa maana ilikuwa himaya Takatifu ya Mfalme Shaka.
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,252
Likes
7,453
Points
280
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,252 7,453 280
Kitu cha F-35 stealth fighter jet
 
Tofauti yako na Mimi wewe Ni Religious Fanatic, Mimi ni Mfuasi wa Kweli wa Kristo ambaye alikuja Kuiokoa Dunia yote. Lakini siasa ya Dunia hii inakudanganya kuwa Wapo wanadamu wanaostahili zaidi Kwa kupendwa zaidi na Mungu. Lakini sijui kama ulishasoma Biblia na Kuona Yesu alisema nini Kwa Lile Tawi la mzabibu lililomkataa! Tunachojazwa Leo ni Siasa za Waliojawa na Kiu za Damu za wengine. Yesu hana Kabila pendeleo, Wote watakaompokea Atawapa Uwezo Kuwa wana, Ennendeni Ulimwenguni Kote mkawafanye watu Kuwa Wanafunzi wangu, watakaomkubali mwana wanao uzima na watakaomkataa mwana hukumu ya Milele. Je ni Kinanani walimkataa na Kumuuwa Yesu na Wanamkataa hata leo? Je ni Kina nani Wanamkataa Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Wote Lao Moja!
 
B

Bolivar

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2010
Messages
229
Likes
17
Points
35
B

Bolivar

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2010
229 17 35
Wakristo mnachekesha sana. Aliye andika bibilia alisha waroga mana alikuwa Muisael yani mkisikia
Israel mnachanganyikiwa wakati wao ndio walimua Yesu kama mnavyo dai ni Mungu wenu.
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Likes
5,717
Points
280
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 5,717 280
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Mimi Nafikiri Mwanadamu Mcha Mungu ni Yule hata Baba mzazi akikosea yupo Tayari kumsema Baba Umekosea. Kama Israel wakifanyiwa Ubaya nitawatetea na Wao pia Wakifanya Ubaya pia Nitawasema. Lakini Wakristo wamejazwa ujinga ati Israeli wakikosea ukisema wamekosea utakuwa umewawalaani hivyo utalaaniwa! Really? Uzuri najua utumbo huo ulikoanzia na lengo lake nini. Someni historia na siasa za Dunia vizuri. Mtagundua mambo ya ajabu sana, sana.
 
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
955
Likes
339
Points
80
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
955 339 80
Israel hawawezi kuvunja huo msikiti. Marekani kuwapatia misaada kama hii Israel ni kawaida.
 
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,441
Likes
2,822
Points
280
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,441 2,822 280
Who cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.
Kama ni hivyo basi South Africa ichukue kuanzia Capetown mpaka ziwa Nyassa maana ilikuwa himaya Takatifu ya Mfalme Shaka.
Umehack ulokole
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Likes
5,717
Points
280
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 5,717 280
Na wavunje wa nini hasa, Hivi Mungu anayemiliki Masayari na Magalaxies yasio na hesabu, Manyota mengine makubwa kuliko jua mara billions, leo hii kwa akili zetu tunadhani ati anahitaji tusimame juu ya kakipande ka ardhi fulani ili atubariki, si kumkosea adabu na kuwa na akili mithili ya chawa? God if He is the One we say He created the universe, We are so disrespectful to Him if we Identify him with a little pease of land or a building built by man and clam it to be His holly Place!
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Likes
5,717
Points
280
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 5,717 280
Sawa Mungu ndiye ananijua. Mimi Machozi ya Mtoto wa Kiyahudi, au Kiarabu au Kiafrika, Ukiyasababisha kububujika kwa Ukatili wa aina yoyote Mungu atakuhukumu tu. Ndivyo ninavyoamini. Watoto wanaokufa Syria Leo kwa kuwa tu kuna watu hawakupenda Syria iwe na nguvu unaonaje Yesu aliyesema watoto kama hawa Ufalme wa Mungu ni wao anajisikiaje na aliyeleta mkorogano? Usihukumu usije Kuhukumiwa. Mimi ni Mtu wa haki sana!
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Likes
5,717
Points
280
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 5,717 280
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Mimi Naunga mkono Taifa lolote linapostahili, na kupingana nalo pale linapokuwa limekosea. Sina upendeleo binafsi na wala akili zangu hazijashikwa mateka na propaganda za siasa au za dini yoyote. Kwani Mungu alinipa ubongo ili iweje?
 
kandere

kandere

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
314
Likes
197
Points
60
kandere

kandere

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
314 197 60
Wakristo mnachekesha sana. Aliye andika bibilia alisha waroga mana alikuwa Muisael yani mkisikia
Israel mnachanganyikiwa wakati wao ndio walimua Yesu kama mnavyo dai ni Mungu wenu.
Hivi dini yako inaruhusu kukufuru imani za watu wengine?

Da! Nyie mna shida sana.
 
ngamba 99

ngamba 99

Member
Joined
Aug 15, 2016
Messages
85
Likes
37
Points
25
Age
42
ngamba 99

ngamba 99

Member
Joined Aug 15, 2016
85 37 25
Mgogolo wa palestina na Israel umeigawa dunia Kwa misingi mikuu miwili (2) Yaani ukristu na uislam , kuna wa Kristo wa naamini kabisa kuwa wanacho fanya wa Israel ni mpango wa mungu moja Kwa moja na wana amini Israel haiwezi kufanya makosa, kadhalika waislam nao wa naamini kabisa kuwa wanacho fanyiwa wa palestina ni mwendelezo wa hujuma wanazofannyiwa waislam tangu hapo . na hili ndio Tatizo kubwa linalo sumbua watu wengi
 
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
2,830
Likes
5,820
Points
280
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
2,830 5,820 280
Watanganyika sijuh mna matatizo gani yani kila inapozungumziwa israel tayali mnakwenda kwenye udini hata yakiwa mambo ambayo uhitaji uwepo wa roho mtakatifu unaitaji akili ndogo tu tena yenye uwezo wa 2G bado mtu anaingiza udini na bahati mbaya ndani ya israel ni
76.1% jewish
16.2%muslim
2.1%christian
1.6% druze hawa ni kma waislam tu
4%wapagani
so wapagani ni wengi kuliko chrstian
hapa tujadili hoja si kuleta vifungu vya maandiko ambayo wakat wingine sioni kama vinafaa mada ni mambo ya kijeshi si kidini sasa vifungu vya maandiko vya nini????
israel ndio nchi inayopokea misaada mingi kutoka US na kwa mwaka US inatoa 4.4 billion usd kwa jeshi la israel na hii kampuni ya Lockheed Martin watengenezaji wa hyo ndege ya F -35 na nyingne ya Lockheed Martin F-35 Lightning II ambayo ni 5th Generation fighter inauwezo wa kutumika kwenye vitego viwili vya jeshi yani Navy and Air Force fighter ndege hii ilikuwa ni Joint Strike kati ya lookheed martin na Boeing kumbuka Boeing wana kitengo cha Boeing Defense, Space & Security na wamesha tengeneza ndege na vifaa vyiing vya kijeshi kama
Boeing B-54 na B -52
Boeing XB-55
Boeing XB-56
Boeing XB-59 na Boeing X-32 ambayo ndo zilitengezwa pamoja na Lockheed Martin F - 35 Lightning II ambayo ilishinda ktk hyo joint strike
 
Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,525,978