Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
UBANI hii ni moja kati ya aina la vumba au dawa ya kuchoma au marashi ya nyumba au mwili na ubani ni aina ya nta au gundi inayopatikana africa,asia na america hii imekuwa ikiuzwa sana na...
9 Reactions
64 Replies
87K Views
MADHABAHU ALIZOJENGA IBRAHIM πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Katika Biblia, Ibrahimu alijenga madhabahu katika maeneo mbalimbali kama ishara ya ibada kwa Mungu, shukrani, na imani. Hapa ni madhabahu kuu alizojenga...
2 Reactions
3 Replies
714 Views
Habari ya muda Great Thinkers!! Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii. Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa...
48 Reactions
481 Replies
14K Views
DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni...
1 Reactions
12 Replies
714 Views
Habari wanajukwaa! Nimevutiwa sana na jukwaa hili lenye hoja fikirishi na zenye mvuto wa aina yake. Leo ningependa kuanzisha mjadala wa kipekee kuhusu uwezo wetu wa kufikiri. Hivi karibuni...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
144 Reactions
789 Replies
159K Views
Natumai mu buheri.. Mada yangu leo nitapenda kuangazia misimamo mbalimbali juu ya uwepo wa Mungu/Miungu pamoja na chanzo cha ulimwengu na kisha nitagusia mtazamo wangu kutokana na mitazamo hiyo...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa...
12 Reactions
95 Replies
4K Views
Salute Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba...
86 Reactions
345 Replies
41K Views
Naam, nimekuja tena kupamba jukwaa kwa aina ya pekee kabisa. Nadhani mmewahi kusikia juu ya hawa viumbe wanaoitwa MAJINI. Mmesikia stori mbalimbali kuwahusu lakini leo sio stori tena na vitendo...
28 Reactions
1K Replies
522K Views
Hatimaye najibu Mpemba's Law 🀭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii. Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini watu...
22 Reactions
496 Replies
49K Views
Sir Isaac Newton tumemzoea kwenye maswala ya Sayansi, na amefanya mabadiliko makubwa katika Ulimwengu huu Je wajua aliwahi pia kukichambua kitabu cha Daniel kwa undani zaidi? Leo nitakuonesha...
5 Reactions
92 Replies
4K Views
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Memories of WWII refugees live on in Tanzania ARUSHA – On the fringes of a small Tanzanian village called Tengeru lie buried 150 Polish war refugees, who did their best to make a life there. The...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
GEORGE W. BUSH; RAIS WA 43 WA MAREKANI ANAYESEMWA KUWA NA KIWANGO KIDOGO CHA AKILI (IQ), LAKINI NDIE RAIS MBABE, MKALI NA ALIYEOGOPWA ZAIDI DUNIANI, ANATAJWA KUPENDWA SANA NA KUCHUKIWA SANA...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
If: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 Then; H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%...
32 Reactions
66 Replies
11K Views
Je, kuna uthibitisho wowote wa kimaandiko kwamba kutakuwa na mateso baada ya kifo kwa wale watakaokufa katika dhambi?. Jibu ni ndio.. Tusome, Luka 16:22 β€œIkawa yule maskini alikufa, akachukuliwa...
2 Reactions
5 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…