princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 8,685
- 17,288
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..
ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)