FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE
KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI
1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi
usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta
matibabu mbalimbali...
Jaman wana forum naomben msaada nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe kwenye uume kwa muda mrefu tatizo hilo huambatana na maumivu makal chin ya kibofu nilienda hospital wakanipima docter...
Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja...
Habari zenu wadau! Mungu amenijaalia kupata mtoto wa kike hiv karibu,kwa sasa ana miezi mitatu,imefika wiki sasa tangu aanze kunyonya kidole gumba,yaani amekazana sana hadi kero!!
Kuna watoto...
#NGUVUzaKIUME
#TUELIMISHANE
UNAIFAHAMU MBEGU YA KIUME ILIYO BORA NA YENYE UWEZO WA KUTUNGISHA MIMBA? twende pamoja
Kama kila ukifanya tendo la ndoa, mwanamke anatoka shahawa/mbegu dakika...
🚨𝗖𝗛𝗔𝗡𝗝𝗢 𝗬𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗔𝗧𝗔𝗡𝗜: 𝗨𝗥𝗨𝗦𝗜 𝗜𝗠𝗘𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗟𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢?🤔😳
Na,Fred Ma ✍️
Baruapepe: fredmaofficial@gmail.com
Instagram: instagram .com/fredmaofficial
Ingawa maendeleo ya chanjo ya saratani ya mRNA...
Habari wandugu?
Mimi ni mtanzania. Daktari bingwa, niliyefanya super specialization katika magonjwa ya Moyo. Nimebahatika kusoma na kuishi India. Nitakuwa tayari kumpa mwongozo mtanzania yeyote...
Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu...
Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye...
Wazee wenzangu na wajukuu zangu salaam.
Naomba tujuzane namna sahihi ya kumeza dawa maarufu kama kutwa mara tatu.
1. Je, nigawe masaa 24/3=8 ambapo ninywe dawa kila baada ya masaa nane, yaani...
KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME
Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅
Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko...
Antibiotic resistance is here …Millions of people are dying
Story by Global Press Journal
• 19h • 9 min read
For years, Radha Lama bought antibiotics in bulk at a clinic near her home in...
Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Picha kwa hisani ya Google.
Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya...
Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza...
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa...
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na...
Hope mko poa. Miaka ya nyuma Kama 10yrs ago wakati wa utoto, nilipenda sana kucheza Mpira, nilipokuwa nakimbia Sana nilikuwa nasikia Kama Kuna kitu kinabana kwenye moyo afu kinaacha Basi nikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.