Mafua ni means ya kumkinga na vimelea nyemelezi kiafya, anaposhikwa na mafua kwake sio ugonjwa wa kukuumiza kichwa hiyo ni defence mechanism ya cells mwilini kuwa anavuta hewa ya dunia na kuwa sasa mwili unajitengenezea antibodies za kumkinga na hewa chafu kuingia mapafuni, mi sio doctor ila ni mtizamo tu kwani nimekuwa mzazi na nayaona haya sana kwa watoto wachanga, na pengine tumia kinywa chako kumvuta hayo mafua puani kama yameziba, ila kumuanzisha na chemikali za matibabu kwake ni mapema sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.