Tatizo la kutokwa na uchafu mweupe kwenye uume

Muhsin kanick

Member
Aug 26, 2016
11
1
Jaman wana forum naomben msaada nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe kwenye uume kwa muda mrefu tatizo hilo huambatana na maumivu makal chin ya kibofu nilienda hospital wakanipima docter akaniambia sina tatizo lolote anaefahamu tatizo hili naomba anishaur kitu tafadhar maana naumia sana.
 
Mmmh we usifanye mchezo tafuta hospitali za maana au docta wa magojwa hayo upewe tiba ukiambiwa hivyo haitoshi ukae ungoje maumivu tu! Fanya upesi toka ndani!
 
Ndugu tafuta hospital nyingine nzuri nenda wakufanyie uchunguzi wakina wanaweza wakagunduzua tatizo lako wakakupa tiba pia jitahidi maombi kwa imani yako maana kunamagonjwa mengine mtu anaweza kukutupia kishirikina!
 
Kaswende (Syphilis) hiyo Bro Kawahi Hospital Haraka Kabla Jogoo Hajakatika Kipande.
 
Mkuu hiyo ni gono,
Dawa ya shortcut ni cipro vidonge viwil vya 500g, so jumla zitakuwa 1000g, meza kwa wakati mmoja usiku kabla ya kulala. Hakikisha umekula na kushiba vizuri.
Itakata hiyo kitu na hutaiona tena.
Kama una mpenzi/mke mtibu pia ili asikuambukize tena.

NB: Not recommended kama uzito wako ni mdogo, na pia kunywa maji mengi baada ya kutumia.

Over
 
siku hizi hajisikii dawa zinafel adunge panaduu Ile ya mmba
 
Kisonono hicho nenda hospital, mm pia nna tatizo kama lako, kama huwashwi wala kusikia maumivu yako ni asymptomatic(isiyo na dalili)
 
Back
Top Bottom