Mwili kutikisika na vitu kutembea ndani ya mishipa

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
 
Japo hutoamini mm nakupa ukweli ambao upo!

Una tatizo la Jini Mahaba, lipo katika hatua za awali!

Binafsi ilianza hivyo!
 
Una umri gani? Mara nyingi hizo pia ni dalili za menopause. Kama ni vitu vya moto vinatembea kwenye damu (hot flashes) na umri wako unakaribia kukoma basi ndio dalili yake. Suala la mwili kutingishika siwezi kulisemea maana hujaeleza nini kinatingishika, ni mitetemo ya nyama za mwili au ni mwili mzima kutetemeka kama mtu aliyepigwa na baridi kali??
 
Maombi Mkuu!
njia zisizofaa hazikunisaidia!
Yan naeza kua nimekaa kazin mara vitu vinatembea mara natingishika kwa kasi ya ajabu.....na huyo jini anasababishwa na nini na inakuaje mpaka aniingie mkuu
 
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Samahani lakini, vipi mtingishiko wake upande wa makalio?
 
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Kwanza Pole sana kiongozi, lakini wengi wetu sio wataalam ila ni wazoefu wa magonjwa mbali mbali, hapo kuna uwezekano kuna mafuta kwenye mishipa ya damu ,sasa baada ya kusafiri damu kwa pamoja baada ya ku pampiwa toka kwenye moyo ikifika mahali kwenye mshipa upande kuna mafuta ,damu inatafuta kupita ila kipenyo cha mshipa kinakuwa kidogo ndio hapo unaposikia kama inatembea,ungekuwa una unaufahamu kwenye break system ya gari ungenielewa vizuri.
 
Una umri gani? Mara nyingi hizo pia ni dalili za menopause. Kama ni vitu vya moto vinatembea kwenye damu (hot flashes) na umri wako unakaribia kukoma basi ndio dalili yake. Suala la mwili kutingishika siwezi kulisemea maana hujaeleza nini kinatingishika, ni mitetemo ya nyama za mwili au ni mwili mzima kutetemeka kama mtu aliyepigwa na baridi kali??
Yan ni viungo vya mwili mara mguu mara mkono au sehemu za siri nyama zinatingushika tena kwa kasi mara nyingine kichwani au pia kwenye macho huku kwenye sehem za kutolea machoz
 
hii ni forum ya madaktari kweli?
mbona maelekezo ya kikapuku tu kama sisi waswahili wa kawaida?
mtu anashtuka na vitu vinampitia sijui kucheza, jibu lake jini mahaba?
hamienei tu ktk jukwaa la habari mchanganyiko!
 
Kwanza Pole sana kiongozi, lakini wengi wetu sio wataalam ila ni wazoefu wa magonjwa mbali mbali, hapo kuna uwezekano kuna mafuta kwenye mishipa ya damu ,sasa baada ya kusafiri damu kwa pamoja baada ya ku pampiwa toka kwenye moyo ikifika mahali kwenye mshipa upande kuna mafuta ,damu inatafuta kupita ila kipenyo cha mshipa kinakuwa kidogo ndio hapo unaposikia kama inatembea,ungekuwa una unaufahamu kwenye break system ya gari ungenielewa vizuri.
Asante mkuu
 
hii ni forum ya madaktari kweli?
mbona maelekezo ya kikapuku tu kama sisi waswahili wa kawaida?
mtu anashtuka na vitu vinampitia sijui kucheza, jibu lake jini mahaba?
hamienei tu ktk jukwaa la habari mchanganyiko!
mkuu naomba msaada wa tiba maana hili jambo linanisumbua sana
 
Back
Top Bottom