Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Habari wapendwa mm ni mama nina mtoto mmoja sasa nilipobeba mimba nilipata sana taabu sababu nilikuwa natema sana mate pia nimetema mate mpaka Siku ya kujifungua sasa naomba km kuna yeyote...
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Jamani mimi nina matatizo tena makubwa sana lakini nadhani kupitia jamii nitafanikiwa. Mimi bwana nina UUME mdogo,lakini ninadisa vizuri tatizo nikipizi maramija ninashindwa kurudia hadi baada ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani mi nina shida moja ambayo ningeomba wanajamvi wenzangu kama kuna mwenye ufahamu anisaidie nina mtoto mmoja ambaye ana umri wa miaka minne now, matiti yangu ni madogo kiasi ila mwonekano wa...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Huwa nikimaliza kuoga uso unapauka na kuwa kama msukule yaani ukiniona lazima ucheke. Hata nikipaka mafuta nakuwa kama sijapaka bado nimepauka mpaka ipite muda ndio nakuwa kawaida, na unga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali naombeni msaada, Kwa mtu yeyote anayejua tiba ya mtu anayependa kula magodolo.Ninaye ndugu yangu mwenye tatizo hilo na imekuwa vigumu kwake kuacha kiasi kwamba inatishia uhai wake...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Brain enhancing 'modafinil' is the world's first safe "smart drug" according to researchers at Oxford University and Harvard Medical School, who confirmed it really does enhance mental...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Mimi nina mimba ya mwezi mmoja lakin kuna utofaut niliona,nilianza kuumwa sana tumbo gafla afu damu zikaanza kunitoka. Lakini nikaulza nilijibiwa ni kawaida damu inaeza...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tusime herbal. Wanajamii forums, ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema angenufaika nayo ila sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Can taking Viagra make you go deaf? Hundreds of cases of hearing loss reported among users It may help you reach the heights of passion, but Viagra could stop you enjoying the pillow talk...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha kwa Tanzania asilimia zinaongezeka japokuwa...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Cholera is an infectious disease that causes severe watery diarrhoea, which can lead to dehydration and even death if untreated. It is caused by eating food or drinking water contaminated with a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila mafanikio. Pia kifuani kalianza kakipele...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau,,umri wangu miaka 20 UUME Wangu ni sentimita 19 (Inch 8.5) sasa kuna muda znanijia hisia za kusex UUME Wangu husimama kwa muda mrefu (zaid ya dk 30) bila kusinyaa ila huwa nakoxa demu...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Addyi (pronounced ADD-ee), a.k.a Flibanserin a.k.a “Little Pink Viagra” has been approved by US Food and Drug Administration (FDA). Addyi is designed to help women regain their sex drive by...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku zote pedi inatakiwa iwe na uwezo wa kupitisha hewa pande zote yani mbele na nyuma. Pedi hizi zina technologia ambayo ina uwezo wa kuua bacteria waharibifu wa uke na kuwaacha wanaotakiwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Miguu ya wenzetu wengine kuwa na kreki za asili a.k.a Magaga? Naomba mnaojua tafadhali mnisaidie kwani kuna mtu mimekaribisha kwangu kaja na ndala zake akawa amekunja nne katika kochi bahati...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kwa wale wajuzi wa mambo, Ni vyakula gani vinasababisha tumbo kuuma na wakati mwingine kuharisha kabisa ukiwa safarini na hasa safari ndefu za magari? Manake hii kitu huwa ni balaa, ukiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Za saa hizi ndugu zangu. Leo nilienda hospitali na kaka yangu kumsindikiza kupigwa ultrasound. Baada ya vipimo kumalizika akakutwa na jiwe kwenye kibofu cha mkojo la 0.72mm. Amepewe cystones...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom