Tusime herbal

Emanzi

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
261
118
Tusime herbal.

Wanajamii forums, ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema angenufaika nayo ila sasa anazeeka,and she just passed it to me. Nimeipa jina la "Tusime herbal".

Hii dawa ni mbegu tu za mmea fulani na haina madhala yoyote kwa mtumiaji.

Inatumika kwa wanandoa wanao taka kupata watoto jinsia tofauti yaani kama umezaa watoto wa kiume tu na unahitaji mtoto wa kike anayetumia dawa ni mama,kama umezaa watoto wa kike tu na unahitaji wa kiume anayetumia dawa ni baba.

Hii aina utani kama unachangia jaribu kuwa msataharabu au nipm.

Tupo kwenye matengenezo ya website ili kuweka taarifa zote kule ili na kwa walio nje wenye uhitaji wapate info kamili.
 
Tusime herbal

Wanajamii for ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema angenufaika nayo ila sasa anazeeka,and she just passed it to me. Nimeipa jina la "Tusime herbal"

Hii dawa ni mbegu tu za mmea fulani na haina madhala yoyote kwa mtumiaji.

Inatumika kwa wanandoa wanao taka kupata watoto jinsia tofauti yaani kama umezaa watoto wa kiume tu na unahitaji mtoto wa kike anayetumia dawa ni mama,kama umezaa watoto wa kike tu na unahitaji wa kiume anayetumia dawa ni baba.

Hii aina utani kama unachangia jaribu kuwa msataharabu au nipm.

Tupo kwenye matengenezo ya website ili kuweka taarifa zote kule ili na kwa walio nje wenye uhitaji wapate info kamili.

Ukitaka mtoto wa jinsi unayotaka huna haja ya kutumia dawa hizo, kuna fomula yake ambayo ni rahisi tu ndugu, tutumie miti shamba kwa tiba za magonjwa lakini mambo kama watoto na kama mtu huna tatizo la mbegu za kiume na nguvu za kiume ni jambo lisilo na ugumu wowote.
 
Back
Top Bottom