Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ushauri please, Mimi na mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka kama 2 sasa. Kwa zaidi ya mwaka nimekuwa na matatizo ya erection na kukosa hamu kabisa ya mapenzi. Nashindwa kabisa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA !!! Azam company ni kampuni inayorisha Watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndege wangu hawataki kuzaliana kwa spidi kubwa. Naomba mnisaidie wandugu niwafanyeje hawa wazaliane kwa sanaa?? kwa ku-BOFYA HAPA tafadhali. Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ndugu zangu kuna shida inamsumbua jirani yangu,nimeona niilete hapa jukwaani ili tuone namna yakumsaidia huyu binadamu mwenzetu. Kuna familia moja (majirani zangu) walipata...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari Wakuu? Naomba kwa mwenye kujua anifahamishe juu ya dawa nzuri ya Ameoba.
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Ni ugali dona na samaki wa kukaanga kwa mafuta ya alizeti.Ni dozi ya kila siku asubuhi saa1.Binafsi situmii chai maana sijawahi kuipenda chai.Msaada tafadhali jee kuna madhala yoyote ntayapata...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Painful or even mildly uncomfortable sexual intercourse is usually the first sign for a woman that she may have a condition known as Vaginismus. According to some women, the sensation can be...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habr wapendwa, mimi nina swali kwenu madaktari wa JF. Je naweza kutumia maziwa fresh kama chakula changu cha kila siku?yaani siku nzima natumia maziwa fresh,je nini faida yake? na madhara yake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu kuna dispensary moja ya private nimeenda nimeambiwa nina typhoid nauza hivi hiki kipimo kinaweza kuchukuliwa kwa dk 15
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ok [/SIZE]
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalamu waeleza haya kwa uwazi ktk attachmentzangu hapo chini,ombi langu wanaojua lugha vizuri ya kiingereza wajaribu kutafsiri kwa manufaa ya wengi na jambo la kusikitisha hakuna madaktari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam kwenu. Naombeni kujuzwa nina mwezi wa pili sasa TAYA yangu inapekecha nikiwa nakula na ni upande mmoja. Nahisi alignment yake imepishana. Msaada ni dawa gani au matibabu gani naweza pata.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
TAMBUA VYAKULA VINAVYOSABABISHA UGONJWA WA SARATANI UTAFITI mbalimbali uliokwishafanywa unaonyesha kuwa magonjwa mengi ya saratani (cancer) yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku katika...
3 Reactions
32 Replies
15K Views
Tusime herbal Wanajamii forum ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema umuhimu wake kwa siku hizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Ninaomba kujuzwa namna ya kumuondoa huyu mdudu aina ya KONOKONO kwenye mazingira ya nyumba yangu, hali ya hewa ya jiji la Arusha ni baridi na hata wakati wa kiangazi unaweza kuta mvua...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Habarini wadau, Mimi ni kijana mwenye miaka 22 tatizo langu nasumbuliwa sana na kutekwa na janga hili la kuangalia picha za ngono na kupiga sana punyeto naweza kwenda hata mara 6 kwa siku na huu...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu? Mimi ni kijana niliyekulia na kusoma katika mazingira ya dini na maadili,mimi toka nasoma najua sigara ni hatari kwa afya na matangazo na vitu nilivosoma kuhusu ubaya wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa nn hamna vidonge vya heparin
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Je, unatumbo kubwa? Huna makalio? Huna dimple cheeks? Miguu yako ni fito? Huupendi mwili wako wote? Jibu: Sikiliza video!
0 Reactions
0 Replies
748 Views
wakuu nahitaji kupata mafuta ya Nazi kwa ajili ya dawa...kwa kunywa si Yale ya kupaka..yawe hayajachakachuliwa...nitashukuru wakuu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom