Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Throughout history the main reasons human beings willfully kill other human beings are religion and greed. Although it is surprising that people steeped in a religion that worships a "loving god"...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Habarini wadau. Hivi juzi nilienda angaza kupima Ukimwi. Majibu yakatoka nikaambiwa niko poa. Yaani negative. Nilitoka na furaha sana. Kiasi cha kutouliza tarehe ya kurudi nilipewa kikadi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwa miaka minne sasa naendelea kupambana na ascaris kwatumia mitishamba na aina nyingi za madawa ya hospitali, lakini imendikana kabisa. Is there any person with idea to get rid of this fucken...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Hizi ndizo faida ya sigara. 1. Mwizi hawezi kuiba kwako usiku. 2. Mbu hakukaribii karibu yako. 3.Huzeeki bali unakuwa kijana tu. Naam lazima mutajiuliza kwanini hivo. Wacha niwape maana ya...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Ni bidhaa bora zitakazokufanya uwe na afya madhubuti katika mwili wako. Zinauwezo wa kutibu magonjwa yafuatayo:_ 1. Kisukari 2. Shinikizo la damu 3. Kurudisha kinga mwili kwa waathirika wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nasikia kuna hivi vipimo vipya ya ALERE determine viko accurate kwa kiasi gani?
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari zenu! Mi ni mdada ambae natafuta jibu la swali hili. Nimepima Mimba kwa kutumia UPT ila majibu yameonyesha mstari mmoja ambao ndio unaonekana sana. Ia pia ukikiangalia kwa makini sana...
0 Reactions
23 Replies
42K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, mwili wangu sijui una nini maana nihisi kama vitu vinatembea mwilini na pia naota ndoto za ajabu sana, na kiukweli mambo yangu hayaendi vizuri kila nilipangalo...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Salam wakuu, Ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF (upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali! Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
2 Replies
15K Views
Please naomba kuuliza!Sipendi kutumia condom na mama watoto wangu.JE NI SIKU GANI NI ZA HATAR?NAOMBA NIFUNDISHWE MZUNGUKO ULIVYO.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi?,wanajamvi mimi ni mgeni katika jukwaa la Jf doctor, Naomba ushauri kwa wataalamu wa mazoezi ya viungo na mwili kwa ujumla. Mimi ni kijana umri miaka 23. Nahitaji kuwa na Mwili wenye nguvu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa. Msaada wa kitaalam.
0 Reactions
25 Replies
22K Views
Naweza kukaa wiki mbili mpaka tatu bila kupata choo kikubwa, mwenye ufahamu namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Habari mdau, Samahani kuna uwezekano wa mimba kutokuonekana kwenye mkojo? Naomba kupata ufahamu juu ya hilo.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hello wana JF. Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?. 2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa. Nisaidieni ushauri na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kutana na dozi ya kisukari inayoponya kisukari kwa siku tatu tu baada ya kuitumia. Doctor MWAYA anapatikana Songea. Anatoa hii dozi ya kisukari ambapo mgonjwa atapewa siku tatu za kutumia hii...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe asilia mtu anaweza kumaliza tatizo lolote la kiafya na kuweza kuishi kwa amani na kwa kujiamini. Kuhusu kupungua uzito ni jambo muhimu sana la kuweza kujiweka sawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amezaliwa akiwa amebabuka kama vile ameungua. Hiyo inasababshwa na nini? Matibabu ni yapi? (Dawa)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wandug wana JF nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
0 Reactions
45 Replies
31K Views
Habari zenu wapendwa. Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style. Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
1 Reactions
36 Replies
16K Views
Back
Top Bottom