Msaada: Nawashwa viganjani na miguuni

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,292
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,292 2,000
Kwa wataalamu wa afya na wenye uzoefu katika hili.

Hivi tatizo linaweza kuwa ni nini? Nawashwa sana viganjani, mikononi upande wa nyuma na kwenye vikanyagio vya miguu upande wa juu! Pia kwenye viwiko vya mikono.

Nitakuwa na shida gani!?

Nisaidieni please.
Nenda kapime Hospitali utakuwa na Allergy ya kuwashwa washa labda kuna vyakula unavyokuala haviendani na damu yako kapime hospitali utagunduwa sababu ya kuwashwa washwa Ngonepi
 

Forum statistics

Threads 1,389,956
Members 528,062
Posts 34,039,593
Top