BINARY NO JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 2,155 Reaction score 2,171 Aug 28, 2015 #1 Salaam kwenu. Naombeni kujuzwa nina mwezi wa pili sasa TAYA yangu inapekecha nikiwa nakula na ni upande mmoja. Nahisi alignment yake imepishana. Msaada ni dawa gani au matibabu gani naweza pata.
Salaam kwenu. Naombeni kujuzwa nina mwezi wa pili sasa TAYA yangu inapekecha nikiwa nakula na ni upande mmoja. Nahisi alignment yake imepishana. Msaada ni dawa gani au matibabu gani naweza pata.