Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani mi nasumbuliwa na kichwa kinauma sana tena frequently kinaweza kuacha kwa mud a tu, shida iko hivi nikitembea juani kwa dakika 25 nitaumwa kichwa sana,pili nikiwasha computer hasa kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF! Wataalam wangu, naombeni kuuliza, ugpnjwa wa kutetemeka mikono husababishwa na nini na tiba yake ni ipi? Yaani utaona watu hasa watu wazima na wa makamo wakitetemeka mikono kiasi kwamba...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari wakuu, mimi nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Mlioko Dar es Salaam ni wapi wanahuduma mzuri ya kug'oa meno na gharama zake au kama wanapokea bima ya NHIF. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SARATANI YA MATITI NA NAMNA YA KUJICHUNGUZA MWENYEWE Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao huwapata wanawake na unatokana na athari za chembe ndogo ama seli kwenye matiti na matokeo yake ni...
1 Reactions
4 Replies
23K Views
Habarini wakuu, Ninasumbuliwa na tumbo kuuma sana hasa ni nikila maharage na dagaa nimeenda hospitali moja ya wilaya nikapima kipimo cha occuh blood hakuna reaction yoyote. Nishaurini nifanyaje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
What Eating Pork Does Inside Your Body (Medical Video) Some religions forbid the consumption of pork, and one of the reasons is that it is considered „unclean.“ Need an explanation? Is there...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Wakuu wa nchi wapi nitapata Dr wa mambo ya Urologist kwa wanaume, niko Arusha mjini. Msaada please.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nasumbululiwa na tumbo, muda mrefu nimeenda hospitali ya wilaya hawajaona tatizo wakuu wapi kuna hospitali nzuri mkoa wa Tanga? Mimi niko Korogwe..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF Hii ni ratiba ya mlo kwa wiki nzima kwa ambao wanapenda kuwa na afya bora pamoja na kujiepusha na baadhi ya maradhi na magonjwa kwa kupitia mpangilio mzuri wa vyakula...
0 Reactions
30 Replies
14K Views
https://www.yahoo.com/health/5-common-vaginal-odors-and-exactly-what-they-122863683890.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi?? straight to the point, she is one month pregnant now, is it safe for her to travel by bus lets say from Dar to Moshi ( to and fro )? Note: Hatujaanza bado clinic, but by mwezi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sasa angalieni kiasi cha Sukari inayopatikana ndani ya Vinywaji Mnavyo Kunywa kila Siku haya...kumbuka ni chupa moja tu....kila shule inafaa hii picha iwekwe
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za kazi wana jukwaa. Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita...
0 Reactions
28 Replies
33K Views
Toka ning'atwe nmekuwa na mashaka naweza dhurika
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Wakristo bwana asifiwe, Waislam salam alehkum. Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia kimawazo na kitaalam. Ninahakika kwatatizo langu huku litapata ufumbuzi kwani kuna madaktari...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Madereva wanaoendesha magari ya masafa marefu na wale wanaoendesha magari muda mrefu bila kupumzika, waendesha farasi, waendesha baisikeli na wale wanaokaa maofisini muda mrefu wanao uwezekano...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada ni mwezi sasa nasumbumbuliwa na tatizo la muwasho kooni na ulimi upo na rangi nyeupe hivi itakuwa ni nini? Msaada tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni kweli kwamba asilimia 39.4 ya waathirika hupata v.v.u kupitia vitu vyenye ncha kali,huku 19.21% hupata kupitia salon.ni kweli kwmb joto la mashine za kiume na za kike haziwez kuua V.V.U Ila...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Back
Top Bottom