Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari, Kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Mtaalamu wa tiba za mifugo animal health technician anapatikana Dar es salaam tegeta,,huduma hii unaweza kuipata nyumbani kwako
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salaamu zenu wakuu, nimekuwa na ugonnjwa wa kutokwa na viupele sehemu za siri harafu baada ya kupona vinatokea vidonda mdomon na hupelekea kupata hadi homa, na hujitokeza mara moja kwa kila mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimeumwa na nge, mwenye uelewa juu ya tiba yake naomba anisaidie
0 Reactions
10 Replies
16K Views
Clomid inasaidia nini kwa mwanamke??side effect zake je??
0 Reactions
3 Replies
18K Views
Tafadhalini sana ndugu zangu wanajf, nimezungukwa na "rushes" machoni kwa muda wa miaka zaidi ya kumi sasa japo haziwashi lakini zinaongezeka na kiukweli uso unaharibka mwenzenu. Sasa naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili; Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Hivi ni dawa gani inatumika kuongeza urefu wa uume? Na inatumika kwa muda gani? Faida na madhara yake ni nini?
1 Reactions
38 Replies
22K Views
Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo? Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuacha nyeto n ip
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi Juzi kwenye mazoezi mpira ulinipiga kwenye dushelele langu, hivyo linauma sana dushe langu, Je nikipaka Volini inaweza kusaidia kupunguza maumivu? Karibuni
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wakuu kuna taarfa mimekuwa nikizisikia kuwa kubanwa na mkojo kwa muda mrefu hasa nyakat za usiku huchangia kulegea kwa misuli/mishipa ya uume! je ni kweli?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF. Natumaini hamjambo kwa neema alizotujalia mpenzi wetu mwenyezi mungu tumshukuru. Ni hivi mimi naishi na bi mkubwa hapa yeye anapenda kupika vyakula mfano, nyama au mboga za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Naleta kwenu tatizo linalomsumbua dada mmoja, kipindi cha nyuma alikuwa anaona siku zake kawaida japo ilikuwa kwa maumivu makali hasa siku ya kwanza hadi ya tatu. Lakini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Vidole vya mkononi vimetokea vipele vinawasha sana alafu ngozi inakauka, nini dawa yake?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dar yashika nafasi ya sita maambukizi ya VVU Afrika Wakati kasi ya maambukizi mapya ya Ukimwi ikipungua nchini, tafiti zimebainisha Jiji la Dar es Salaam linashikilia nafasi ya sita miongoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba ushauri,nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto linauma maumivu ya mfululizo na yanafika mpaka kwenye mgongo kwa katikati.ila nimepima typhod sina,u.t.i sina,ila malaria nimekutwa nayo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Soy power ni kwa ajili ya wanawake 1. Husawazsha hormone za kike mwilin 2. Huchangia kwa kuzuia ugonjwa wa moyo 3. Matatizo ya mifupa Royal je. 1. Husawazisha hormone 2. Kukufanya uwe na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A), COMPOUND MARROW POWDER : Supplements calcium and magnesium to relive osteoporosis symptoms such as joint pain and lumbago; : strengthens hematopoietic function. : Improves immunity;relieves...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua kama ukila vyakula vyote...
12 Reactions
42 Replies
93K Views
Back
Top Bottom