Dada mmoja kaniomba niulize kwamba katumia dawa za misoprostol tatu akameza na moja akaweka uken ili kutoa mimba lakini baadaye akatapika je dawa itafanya kazi? Na kama haitafanya arudie zoezi la...
Habarini wandugu,
Nimejitokeza kwenu kuwaletea habari njema juu ya ya ugonjwa wa mifupa hasa kwenye joint.Ambapo mgonjwa hushambuliwa na maumivu makali sana na wakati mwingine hutengeneza usaha...
Msaada wanaJF,
Nasikia unga wa habbat sawda (Habat Soda) unatibu magonjwa mengi sana, kwa anayejua naomba anisaidie ili niweze kuupata, pia mafuta yake!
Heshima kwenu wana JF,
Mimi ninashida moja ya kuwa nikinywa maji mengi sana maana inaweza kufika saa 4asubuhi nimeshakunywa kama maji lta 4.
Ila nikikaa baada ya muda kichwa kinaanza kuniuma...
Kabla hutujafika mbali kama wewe hauna ndoa basi ishia hapa hapa. Elimu iliyopo ni kwa ajili ya walio ndoani tu. Wewe kijana nenda kacheza kiduku kwanza.
Kuna mambo mawili: Kwanza Upungufu wa...
Hello mwanajamii.
Napenda kukushirikisha huduma nzuri yenye uwezo wa kumsaidia mtu ambaye anapambana na kisukari aina ya pili. Karibu upitie haya maelezo nliyoandaa kwa ajili ya jamii kwa ujumla...
Habari zenu wakuu...
Kuna habari nimekutana nayo jana mtaani naomba kushare na wanajamvi...
Nimemsikia mama mmoja akimtahadharisha binti yake kuhusu mchumba wake. Inasemekana...
Nimekua na uzoefu kwa free days ambazo mwanamke hawezi pata mimba siku 28.
Lakini jamaa yangu mke wake anaenda siku 35 mpaka 37.
Siku free ni zipi hapo manake jamaa anamwaga nje tu?
Wadau,
Elimu ya uzazi wa mpango bado haijamfikia kila mtu, kuna jitihada za makusudi zinazofanyika na watu binafsi, mashirika pamoja na serikali ili kuendelea kueneza elimu hii.
WLF kupitia...
Wadau,
Nimeambiwa kuwa mafuta ya mkia wa kondoo ikichanganywa na asali ni dawa nzuri ya kifua na mafua hasa kwa watoto wachanga.Ninatafuta sana mafuta ya mkia wa kondoo naombeni mwongozo...
Wana jf,
Naomba msaada kwa anaefahamu tiba juu ya upofu wa ghafla.
Umemkuta jamaa yangu kaenda hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro amepimwa kila kitu lakini hana tatizo lolote popote.
Nimekutana kimwili na mpenzi wangu siku y 6 tangu amemaliza siku zake.
Je, kuna uwezekano wa yeye kupata mimba?
Je, lile bao la pili linaweza likasababisha ujauzito?
Jamani naomba msaada wenu, natokwa na usaha kwenye uume wangu, na hii imenitokea toka juzi.
Ilianza siku mbili baada ya kufanya mapenzi na msichana mmoja hivi,nataka kujua ni ugonjwa gani huu...
Habari wanajukwaa.
Kwa wajuzi nisaidieni.
Mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.