Inaweza kuwa taarifa mbaya zaidi kwa wanaume wanaojihusisha na uvutaji wa sigara na angalizo kwa vijana wanaotaka kujitumbukiza kwenye kilevi hicho.
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chuo cha...
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu, Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,
Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa...
Ndugu wana JF Doctors, nahitaji kuonana na daktari anayehusika na masuala ya uzazi hasa kwa wanaume. Naomba kujua endapo nitaenda hospital kama Muhimbili, niulize doctor wa nini (kitaalamu) ili...
Wataalamu waJF,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na picha hii, nikasisimka na kujiuliza hiki ni nini?
Je ni ugonjwa?
Kama ni ugonjwa je husababishwa na nini?
Yapi ni...
Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na...
Waungwana habari zenu,
Mimi nina mwanamke nimezaa nae ila hatukai wote mkoa mmoja,tuna mtoto wa miaka mitatu yeye anaishi mwanza kikazi,na mimi naishi Dar kikazi pia, ila pindi anapopata likizo...
Habari wapedwa. naomba msaada kwa anaemjua Docta Bingwa wa wanawake Morogoro. anapopatikana na contact zake ikiwezekana nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Asante
katika gem mara msuli wa mguu ama mbavu unatight na huwezi kuendelea au ku move yaani ikikutokea wewe hutatamani tena kutongoza demu utaaadhirika sana -sababu ni nini .yaani unahangaika kama...
Habari wakuu!
Kama swali lilivyouliza, Je wakati wa tendo la ndoa mwanamme anapomwaga shahawa zake ni lazima ziingie zote ukeni ili aweze kumpa ujauzito? Au kuna zingine huwa zinarudi nje na je...
Mpo wakuu?
Mke wangu alikuwa na tatizo la urinary (tract infection) mwezi uliopita. Ilinibidi niende juu chini na niligudua kwamba hili wanawake kuepukana na janga hili lazima niwaambie.
Kama...
Wanajamvi habari za saa hizi,
Nina mwanangu aliyekuwa na afya nzuri tangu amezaliwa,hajawahi kusumbuliwa na ugonjwa wowote mkubwa zaidi ya mafua ya sikumbili tatu basi.Alikuwa ni mchangamfu na...
Hali zenu wadau,
Hakuna asiye jua kuwa siku hizi kushika mimba Ni issue, wanawake wamekuwa wakihangaika mahospitalini na Kwa waganga yote hii ili kunusuru ndoa zao Kwa kuwapa wenza wao watoto...
Habari zenu ndugu zangu,
Nipo katika mtihani ambao unanichanganya sana, nahitaji ushauri wa kitaalamu na hata kimawazo.
Jambo lenyewe ni hili;
Nina mke na tunaishi mbalimbali kutokana na namna...
Wengi wetu tunafahamu madhara ya kiafya ya baadhi ya wadudu kwa binadamu.
Tangu shule tulifundishwa baadhi ya jamii tofauti tofauti za wadudu na madhara yake iwe kiafya na hata kimazingira.
Kwa...