Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Ndugu wana JF Doctors, nahitaji kuonana na daktari anayehusika na masuala ya uzazi hasa kwa wanaume. Naomba kujua endapo nitaenda hospital kama Muhimbili, niulize doctor wa nini (kitaalamu) ili iwe rahisi kumfikia maana ni hospital kubwa sana ile.