Tafadhari wataalamu huu ni ugonjwa gani?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wataalamu waJF,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na picha hii, nikasisimka na kujiuliza hiki ni nini?

12494693_609643802523975_983862033322384607_n.jpg


Je ni ugonjwa?
Kama ni ugonjwa je husababishwa na nini?
Yapi ni matibabu yake?
Pia ipi ni kinga?

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom