manSniper JF-Expert Member Sep 9, 2015 814 679 Mar 31, 2016 #1 Naomba kujuzwa hospitali inayopima maswala ya uzazi kwa wanaume na wanawake kwa mkoa wa Dar na Pwani. Je gharama za vipimo ni kiasi gani?
Naomba kujuzwa hospitali inayopima maswala ya uzazi kwa wanaume na wanawake kwa mkoa wa Dar na Pwani. Je gharama za vipimo ni kiasi gani?