Ladies only: Kuumwa kwa mke wangu kumenifanya kugudua yafuatayo

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
Mpo wakuu?

Mke wangu alikuwa na tatizo la urinary (tract infection) mwezi uliopita. Ilinibidi niende juu chini na niligudua kwamba hili wanawake kuepukana na janga hili lazima niwaambie.

Kama mjuavyo m..ku..ndu uko karibu sana na papuchi, ni rahisi sana bacteria kuchezea kando na karibu na papuchi.

Hizi bacteria huweza kuingia ndani wakati wa mgegedano na baadaye kuleta urinary tract infections.

Kinyume na wanaume, wanawake hawaejaculate kwenye urethra hivyo kufanya kukojoa kuwa njia ya pekee kuondoa bacteria ambazo huenda zimeingia ndani.

Wanawake pia wana a short urethra ukilinganisha na wanaume hivyo kufanya wawe highly susceptible kupata hayo magonjwa.

Hili halimaanishi wanawake kukimbilia choo kukojoa mara tu baada ya mgegedo. Wataalamu wanapendekeza 30-45 dakika baada ya kuchafuliwa.

NB. Wanawake mkumbuke pia kutawadha kuanzia mbele kwenda nyuma na sio vice versa baada ya kwenda haja kubwa.
 
Back
Top Bottom