Kuumwa kichwa siku moja nakufa.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na tatizo kama hilo.
 
Back
Top Bottom