ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 426
Habari wakuu,
Nina Rafiki yangu nilisoma naye primary na nikamliza naye mwaka 1997 ,2009nimemaliza mimi chuo. Baada ya kumaliza Darasa la saba alipangiwa Tanga School(Tanga Tech), alimaliza tanga Tech form four akapata Dv.two ya 18 ,akapangiwa Old Moshi Sec school kule akafaulu akapata Dv 2, baada ya maticulation ya chuo akachaguliwa Uclass na IFM .akahmua kwenda Uclass . AJABU alipoanza chuo tu matatizo yakamuanza alisoma Ist semister Tu,Then akahairisha chuo mpaka mwaka unaofuata, kubwa kilichokuwa kinamsumbua ni Ugonjwa wa kuanguka ,na kuzimia alikuwa anaweza kuzimia masaaa nane mpaka kumi ,anaweza kuangunka tu ghafla ,iwe kwenye gari, au nyumbani kwao ,somtemses bararani .
Nimejaribu kuongea naye huwa anasema kabla hali ya kuanguka haijamfikia huwa kuna Harufu fulani inakuja,then ufahamu unampotea anaanguka.
Hili suala linaniuma sana wakuu, mimi nimemaliza chuo engineering mwaka 2009,lakini jamaa yangu mpaka leo kila akijitahid kuanza masomo, hiyo hali inamrudia kwa kasi sana, akiwa kawaida yaani hajihusishi na masomo huwa inamtokea lakini sio mara kwa mara.
Ugonjwa huu unamletea madhara hata kiafya ,kwa sababu akianguka huwa anaumia Miguu, mikono, kiuno sometimes anajing'ata sana. kama Juzi jamaa anasema alianguka pale mwenge , akajikuta yupo hospitali ya lugalo aliumia kiuno na miguu .
Nawaomba wakuu ,Tumsaidie huyu Rafiki yangu inaniuma sana wakuu. jamaa tulimaliza wote primary na Ana akili nzuri tu Darasani , lakini mpaka sasa hiv anahangaika mitaani hajui afanye nini,ili aweze kupona.toka umemuanza huu ugonjwa mpaka sasahivi ni miaka minane.
NB. Jamaa ni yatima Baba na mama yake walifariki toka mwaka 1995 anaishi na kaka zake wako watatu kwenye familia yao wote wavulana, yeye ni watatu.
Nimejaribu kuongea na wazazi wangu tuangalie jinsi ya kumsaidia ,wazazi wakaniambia tumpeleke kwenye maombi kanisani ubungo ,pale wanaposali wazee wangu (kalisimatiki) jamaa alikataa kwenda pale ,eti kwa sabau yeye ni Muislamu.
Sasa Nawaombeni jamani kama mtu ana dawa ya huu ugonjwa ,aniPM au kama anaweza kuniambia tumpeleke wapi kwenye Tiba ya ugonjwa huu pia Ani PM. Naombeni ushahuri wowote ninachotaka Rafiki yangu naye Apone wakuu. Ahsanteni