Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

JamNi napenda kujua sigara na pombe zina athari gAni kwa mtu anAye sumbuliwA nA ganzi? Na dawa gani inaweza msaidia mtu aweze ku recover
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cucumber is VERY Alkaline. Cucumber Juice is EXTREMELY good for your Hair, Skin and Nails. It Really is True. Cucumber Juice is High In Potassium. Cucumber Juice can Lower Your Blood Pressure...
3 Reactions
27 Replies
28K Views
Baada ya muda mrefu kutokuwa hewan.. Ila tunashkur sana kwa uungaj mkono wenu juu ya dawa zetu hususan zile za matatzo ya uzazi na mamb mengne......... Hiv sasa tumekuletea mafuta asili yaitwayo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
I have been hearing tory za vijiweni na news about watu flani flani n now nikisoma habari ya mtu mmoja hapa jf nimekumbuka tena hiyo habari nikaona kwa vile jf ni kama one of da main source ya sio...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Naomba kufanunuliwa namna ya kuishi na mtu aliyeathirika na virusi vya ukimwi au mgonjwa wa ukimwi bila kuonyesha kumnyayapaa,mfano namna ya kufua nguo zake,kuchangia vyombo vya kuogea na vya...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
People who regularly attend religious services have been found to have lower blood pressure,less heart disease,lower rates of depression,and generally better health than those who don't. ALSO-...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Saratani ya matiti ni aina ya kansa inayojitokeza toka tishu za matiti hasa mirija myembamba inayopitisha maziwa. Ugonjwa huu (Saratani ya matiti) hutokea kwa binadamu na mamalia wengine. Idadi ya...
2 Reactions
4 Replies
12K Views
WanaJf masaada wa ufahamu juu ya suala hili haraka sana!!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hakuna mtu asiefahamu umuhimu wa lishe bora katika maisha ya mwanadamu. Lishe bora na iliyo kamilika, ni muhimu zaidi kwa watoto kwa sababu wao wanaendelea kukua, hivyo basi wana mahitaji ya...
3 Reactions
3 Replies
34K Views
Naombeni kujua hili tatizo la uzalishaji mdogo wa homoni za testosterone husababishwa na nini na tiba yake ni nini?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Heshima yenu wanajamvi! Imetokea kuwa watu wengi wenye average to small penis kuwa wenye kukatishwa tamaa na wanawake (wachache) na wanaume wengine just kwa kuongelea vibaya udogo wa maumbile yao...
2 Reactions
28 Replies
11K Views
Nina dawa ya vidonda vya tumbo.Nahitaji kuisajiri iweze kuwasidia Watanzania na Wasio Watanzania.TAFADHARI MWENYE KUJUA TARATIBU ZA KUSAJIRI DAWA NAOMBA ANISAIDIE. NB:NI YA ASILI/KIENYEJI...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ule msisimko anaopata mwanaume wakati wa tendo la ndoa,sayansi inasema husababishwa na hormone kumwaga katika sehemu ya ubongo baada ya back and forth movement.. Sasa hakuna uwezekano kuzalisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Mimi ni muathirika wa hili tatizo tangu nimezaliwa.Kwa walio karibu nami huwa wananambia naongea vitu vingi sana tena kwa sauti kubwa. Sasa kinachoniogopesha ni kwamba huwa naongea yale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hivi kwanini kipindi hiki baada ya zana hizi za matibabu kusambazwa karibia vituo vingi vya afya. Njia kuu ya kujifungua imekuwa kisu, Je! Hapo mwanzo mbona karibia wengi walikua...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
14 SUPER FOODS THAT PREVENT BREAST CANCER Breast cancer might be a common form of cancer but it can also take on a deadly form. It has been predicted by the World Health Organization that by...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kufanya kazi ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu mwili unashindwa kujiendesha na kuzalisha seli mpya ambazo zinatakiwa zitumike. Kwa kila anayefanya kazi...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni kati ya yaliyomo katika ripoti ya sababu ya vifo katika hospitali za Tanzania iliyotolewa na Taasisi ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu,NIMR Kwa ufupi, * wanaume si wepesi kumuona daktari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamii inanenepa "Kila Kukicha Inanenepa" Hata watoto wadogo wananenepa, Wanavitambi, Tuseme kwamba kama baba na mama ni mlafi na mvivu wa mazoezi watoto pia ni "WALAFI NA WAVIVU"? Je Kitambi Cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…