Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nauliza basic salary ya Nurse mwenye diploma
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nimepata tatzo hapa, kwa bahati mbaya mke, amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani na usoni, ndio gafla ameanza kulia. Tumejaribu muogesha sana na maji...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Ndugu zangu nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la mkojo kutoka kidogo kidogo yaani kila nikienda chooni mkojo hauishi. Nikaenda hospitali ya rufaa nikapimwa wakanikuta nina UTI sugu, nikaandikiwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26 sasa. Toka nianze kupata period haijawahi kutokea nikakosa period on time. Ila this time imekuwa tofauti. Ni miezi miwili toka nisex na mwezi uliopita nilipata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wapenzi wa JF, Naombeni ushauri wenu sababu nina msichana wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaaaam jf baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Naombeni msaada, ni kwa nini tumbo linauma baada ya kufanya mapenzi na je tiba yake ni nini?
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini...ndio majukumu au nini hii..... Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarin wakuu, Nimepata tatzo hapa,kwa bahat mbaya mke,amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani,na usoni,ndio gafla ameanza kulia, tumejaribu muogesha sana na maji ndio...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kitunguu maji hupikwa kama mboga na hujulikana kama ni aina moja wapo ya kiungo muhimu katika mapishi. Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu...
3 Reactions
11 Replies
17K Views
Je ukiwa ICU.... Unaruhusiwa kuonana na Watu mara kwa mara? Unaruhusiwa kupiga stori za Kufikirisha na Watu? Unaruhusiwa kuzungumza na Watu na Kucheka sana? Unaruhusiwa hata Kujinyoosha na...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Kuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau wa humu, Hivi ni kweli usipofanya mapenzi muda mrefu unaumwa mafua makali, kuna jamaa hapa mtaani ana leta hiyo anasema fact. Swali je ni kweli?
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wanawake wavaao suruali watahadharishwa na Esther Mbussi WANAWAKE wanaovaa suruali aina ya jinzi na nguo za kubana, wako kwenye hatari ya kupata magonjwa hatari pamoja na...
0 Reactions
36 Replies
22K Views
Nina kovu mguuni haliumi lakini ni gumu nikipaka mafuta asubuhi jioni nakuta pakavu balaa....wataalamu hii haina madhara????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BMI au Body Mass Index nia njia inayotumiwa kupima uzito wa mwili ukilinganishwa na urefu. Ingawa kipimo hicho hakionyeshi kiwango cha mafuta mwilini moja kwa moja lakini kinaonyesha kiwango cha...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Utawezaje kugundua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba. Chukua besen au ndoo ya maji. Piga nyeto au fanya ujuavyo shahawa zako zitoke alafu...
12 Reactions
80 Replies
35K Views
Kimengenyo (enzyme) ambacho ni protini aina ya CYP2E1 kimegundulika kuwa ndio chanzo kinachochangia wanawake kupata saratani ya matiti kwa wanawake wanaotumia vilevi. Kwa muda mrefu wanasayansi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni mara nyingi hutokea mtu akala chakula fulani na yakatokea mambo mawili mabaya, kutapika au kuharisha ( japo pia sio lazima kutokea). Mtu inapotokea amekula tu halafu akatapika, mara nyingi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom