Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu, kwa mara ya kwaza leo Nimekunywa kinywaji cha baridi Azma energy, Kwakweli Nimependa radha yake na nimeinjoy.... Cha ajabu baada ya kama Dk 20 hiv hari yangu imebadirika miguu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu, Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana, nilifanya nae sex siku ya 14 baada ya siku zake, aliingia period tarehe...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
0 Reactions
6 Replies
2K Views
salaam wadau je kwa mja mzito wa 2 miezi kusafiri kwa basi umbali wa 450km(300 lami,150 vumbi) kuna madhara yoyote kiafya yake na kababy kake. naomba kuwasilisha
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani wana jamiiforum wenzangu nauliza kwamba kuna mtu ameishawahi kusaidika na dawa ya mzizimkavu ya low sperm count,imenichukua muda mrefu kupata kababy ka pili inabidi twende kupima na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari, ni vyakula gani mzazi wangu anatakiwa ale ili kuongeza ute...Disc za miguu zimesagana sana sana kwasababu hakuna ute...maji maji laini. anashindwa hadi kutembea Ahsanteni sana
1 Reactions
21 Replies
35K Views
Wadau habarini,naomba kujua kwa wataalamu au wenye kujua hasa,ugonjwa tajwa hapo juu unasababishwa na nini na madhara yake ni yapi,natanguliza shukrani
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Samahanini kama haitaleta mashiko kwenu ila mwenzenu naombeni msaada wakimawazo kwa wenye utaalaumu humu ndani Ndugu yangu ana tatizo la kusinzia muda wote haijalishi usiku analala au laah...
0 Reactions
7 Replies
926 Views
Wakuu habari za majukumu, Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea. Jambo ni hili; Nikiakaojoa then mwisho...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Kuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
0 Reactions
13 Replies
20K Views
Wakuu habari za wakati huu? Je inawezekana Mtoto akazaliwa baada ya miezi 11 na akawa salama kabisa? Je hili jambo ni la kushangaza au huwa linatokea?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu ni muda mrefu sasa toka nianze kusumbuliwa na huu ugonjwa, kwa kifupi sijawahi pona mpaka nikawa fit kabisa! Mwili wangu umekuwa na uchovu kila muda hata kazi zangu haziendi kwa ufanisi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nina tatizo la kukosa nguvu za miguu na kusinzia muda wote nimeeenda hospital wamesema ni low BP. Ninasinzia tu tangu asubuhi na nikitembea napepesuka Anayejua tiba na nini, tatzo anijuze.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za majukumu wakuu wenye ujuzi wa afya na wenye matatizo ya afya pia. Kama kilivyo kichwa cha habari nasumbuliwa na macho kwa miaka mingi sasa na tatizo kubwa ni kuwa na macho mekundu ilo...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Hivi mwanaume kupinga bao mbili napo ni upungufu wa nguvu za kiume?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Madaktari mwaka 2016 nilifanyiwa upasuaji Wa uvimbe chini ya kitovu wakati wa upasuaji nilichomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo mwaka 2017 nikaanza kujisikia kama kuna kitu kinanitembea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa mtu mwenye tatizo kama hili achukue manemane na aisage na kuwa unga laini kisha awe ana nyunyizia kichwani sehemu iliyoathirika inshaallah utapona na tatizo kuondoka.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia...
4 Reactions
472 Replies
131K Views
Amsterdam PrEP failure patient had unusual course of HIV infection Researchers speculate that continued PrEP might stop local infections becoming systemic Gus Cairns Published: 02 October 2017 At...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, naomba mwenye kuelewa huu ugonjwa atuelezee
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom