Kwa wenye vibamia tu

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Heshima yenu wanajamvi!
Imetokea kuwa watu wengi wenye average to small penis kuwa wenye kukatishwa tamaa na wanawake (wachache) na wanaume wengine just kwa kuongelea vibaya udogo wa maumbile yao tu!

Mengi yanayosemwa juu ya wenye average sized penis huwa si sahihi.
kwanza kwa yanayosemwa dhidi yao na wanaume wanaoji-perceive kuwa ndio the chosen one kwa kuwa na maumbile makubwa. hii ni sehemu ya vita tu ya kawaida ktk kupata wapenzi, kama vile njiwa wanavyokuruza, au wanyama mbalimbali wanavyo-display features zinazowafanya waonekane superiors kwa wenzao (wale wenye vibamia). pia wanawake wanaotaka kuwakera au kulipa kisasi kwa wenza wao na hivyo kuzungumzia maumbile yao ili kuwatia hasira.

Ukweli unabaki kuwa maumbile hutofautiana, kama penis zina size mbalimbali, then vagina nazo lazima ziwe na size tofauti kama vile vidole, kimo cha mtu, upana wa midomo au lips etc. lakini vyote hivyo kuna kiwango vikizidi kwa ukubwa au udogo vinakuwa vinaonekana na pengine vinaweza kuwa na changamoto. kwa maana hiyo hapa hatuzungumzii emolo (kiduchu kabisa) au wale giants (shack O'neil) wao ni exceptional.

Mara nyingi raha katika mapenzi huwa haziletwi na kitu kimoja, mara zote huwa ni mchanganyiko wa mambo, kitu cha kwanza ni feelings juu ya mwenza wako, kisha ni jinsi anavyokutia hamasa kabla ya tendo, maandalizi wakati wa tendo na stamina saa ya tendo.

kwa wale wenye size za kawaida, toka lower spectrum to higher spectrum (yaani ile ndogo hadi kubwa) wote wanaweza kumfikisha mwanamke bila ya tatizo lolote ikiwa watakuwa wameyafanya hayo mengine kwa ufasaha.


Ni ukweli mwenye penis kubwa atakuwa na nafasi kubwa Zaidi, lakini kama stamina iko chini bado mwenye kibamia atakuwa na comparative advantage. kwa maana kuwa mwenye size kubwa atasugua mara 5 labda kwa mara 8 za mwenye size ndogo kuleta same effect, lakini hii ni endapo mengine yote yatafanywa sawasawa. kwa kutambua hii changamoto, wale wenye size ndogo wanapaswa kujua kuwa hawana excuses katika kutimiza yale mengine modogo madogo katika game, maana kwao kupunguza chochote ni risk.

Shida kubwa inayowakumba wanaume kwa sasa:
kwa hofu ya size za uume wao, wanaume wengi wameshindwa kutimiza yale mengine na hasa hili la stamina na hivyo kuendelea kujiumiza na kubaki wakilalamikia maumbile yao! hili limewapelekea kushindwa kujiamini, kuwa na hofu saa zote na kutopenda kuwa wachokozi kwa wenza wao, kushindwa kufanya maandilizi mazuri kabla ya game na saa ya game kukata tamaa mapema.

Kwa sasa kumekuwepo na matangazo mengi juu ya dawa za kukuza uume au kuongeza nguvu za kiume, huenda hii inajengwa na matatizo ya kisaikolojia Zaidi kuliko hayo ya kimaumbile.

Ushauri:
Achana na kujikatisha tamaa, video za porno nazo ni miongoni mwa mambo yanayowakatisha watu tamaa, Hollywood huwa wanatengeneza clips kwa miezi au hata miaka, hamna uhalisia sana kuhusu stamina, labda size to some! na miongoni mwa wanaume wanaojisifia hasa humu ktk mitandao ya kijamii kuwa wako fit, naamini kabisa kuwa mmoja kati ya 5 ndio ana vyote yaani stamina na size na anajua game, the rest ni story tu.

Ombi:
hebu wanawake njooni muwasemeze wanaume zenu, labda wanaweza kupata nguvu kidogo! wengi mnalia humu kuwa hamridhishwi wakati labda kumbe wachawi wa ndoa zenu ni nyinyi wenyewe!

Haina maana kuwa mtakuwa experts ktk kuzungumzia ukweli juu ya hili, lakini kuna baadhi ya mambo labda yatatufungua kuhusu ukweli na jinsi mnavyoji-feel juu ya tatizo hili sugu kwa sasa.
 
Haya huwa ni matatizo tu ya kisaikolojia,kujifanya inferior,ukiwa mjanja,kuna mitindo ambayo ukiwa mbunifu inakutoa kidedea,mfano katerero
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom