Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiuzwi ila inatakiwa kuchukua ndugu na jamaa unaenda nao ilala pale damu salama wanawatoa damu halafu unapewa memo ukipereka hspl ingine wana release damu waliyonayo kwenye stock kwa mgonjwa wako.
Kadai risit ya EFDKuna ndugu yangu kanunua damu kwa sh 70000 kwa kila chupa moja au unit na alitakiwa unit tatu === sh 210000/=
Ni mkoa au wilaya gani hiyo, sitaki hospitali bali taja jina la mkoa au wilaya tu.Kuna ndugu yangu kanunua damu kwa sh 70000 kwa kila chupa moja au unit na alitakiwa unit tatu === sh 210000/=
TakukuruBaada ya hapo?
1. Natoaga mara nyingi niwezavyo kwa mwaka freely to unknown.Hapana haiuzwi, lakini endapo utakua huna ndugu wa kuReplace damu aliyopewa nduguyo bas utapaswa utafte mtu baki akusaidie kwa makubaliano yenu wenyewe