Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Utawezaje kugundua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba. Chukua besen au ndoo ya maji.
Piga nyeto au fanya ujuavyo shahawa zako zitoke alafu zimwagwe katika hicho chombo cha maji kama ni besen au ndoo ya maji.
Angalia shahawa zako kama zikizama ndani ya maji. Ndugu yangu rafiki yangu upo vizuri hunatatizo na unauwezo wa kumpa mwanamke ujauzito. Ila kama zitakuwa zinaelea tuu juu ya maji basi utakuwa na tatizo la kutompa mwanamke mimba.
Hii mbinu ilikuwa ikitumiwa na wazee wetu
Wakikugundua mapema wanakupa dawa.
Nawasilisha