Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mungu apewe sifa zake na utukufu wake. Nianze kwa kusema hv nlkutana na mwanamke kimapenzi kwa mara ya Kwanzaa tulitumia ndom, sku ilyofuata tukatafnana kavu kavu lakini ilivyopita sku nne nkaanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wana taaluma ya afya! Jana nimekua nasumbuliwa na kichwa tangu juzi,Jana jioni nikaenda kupima nkakutwa na malaria 4 .
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimeenda hospitali juzi kwa kuwa nilihisi maumivu hapa katikati kabisa ya kifua kwa ndani, sio maumivu makali ya kunifanya nisifanye kazi na yanasikika tu kwa kufanya...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Reasons Not To Drink Energy Drinks— Dec 10, 2013The next time you are looking for ways to get energy, think about alternative ways before you buy energy drinks. Consuming excess amount of...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
habari jf doctor! Nina tatizo langozi yapata mwezi wa tano tokea lianze, nimekwenda hospitali, nimepima mpaka damu kwa ajili ya HIV nikapewa majibu, nikaambiwa sina HIV, isipokuwa nimeliweka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji815]Please forward:[emoji815] "Dr. Guruprasad Reddy B V, OSH STATE MEDICAL UNIVERSITY MOSCOW, RUSSIA[emoji614][emoji613] Encouraged each person receiving this newsletter to forward it to...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Jamani habari za jpili hii, wakuu heshima yenu. Naomba utofauti kati ya mbegu nzito ,au nyepesi. Kuna muda zinatoka nzito ,Muda mwingine zinatoka nyepesi. Nzuri zipi au utofauti haupo?
0 Reactions
18 Replies
23K Views
Kama mada inavyojieleza,Moyo hudunda Mara 60-100 kwa dakika na hiki ni kiashiria tosha moyo wako una nguvu za kutosha sasa kwenye dushelele inabidi isimame Mara ngapi kwa siku kuanzia unapoamka...
0 Reactions
30 Replies
14K Views
Ndugu zanguni Habari zenu! Napenda kulisemea ili swalq la nguvu za kiume kuonekana ni janga lkn ktk matangazo ya baadhi ya wadau wqnasemq tatizo hili linaweza kutibika kwa mchanganyiko Wa lishe...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habarini wana JF, Kichwa cha uzi kinajieleza, Mimi nina mpenzi wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukishaanza kufanya mapenzi nikikaribia kojoa analalamika anaungua na anachomoa gafla...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Kama vile mguu, mkono mara nyingi sana nimeshashuudia mtu anavunjika, anapelekwa kuugwa mwezi mmoja utasikia madaktari waliunga vibaya nini huwapata madactari? kuweni makini na kazi yenu basi
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu. Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na...
2 Reactions
104 Replies
15K Views
Habari Jamii Doctor, Ninasumbuliwa na vidonda vya mdomoni vinakuwa kama viupele halafu baadaye huwa vinaongezeka na kuwa kidonda kikubwa kiasi na kichwa kuuma na tumbo halafu mate huwa machungu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nimebakiza masaa 71 kujikinga na huu ugonjwa ndomu imepasuka nimegundua baada ya gemu kuisha mwenye kufahamu zinapopatikana hizi dawa anielekeze tafadhali
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nguvu za kiume ni nini? Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi. Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter...
3 Reactions
27 Replies
26K Views
Habari madaktari kama mada tajwa hapo juu nina zaidi ya siku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafauti na awali hata kama nina mkojo je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida naomba kujuzwa.
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Wakuu salamu zenu Wa Tanzania wenzangu kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na skio kuziba.Tumekwenda hospitalini tatizo wanalomwambia ni uchafu(wax material) ktk skio l Umejaa,wakampa dawa inaitwa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
JE MLO GANI BORA KWA MAMA MJAMZITO? Kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama mtarajiwa anatakiwa kupata mlo ulio kamili kwa muda sahihi na kiwango kinachotakiwa. Mlo kamili hutokana na...
0 Reactions
2 Replies
15K Views
Back
Top Bottom