Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wana jamvi; Mimi ni kijana wa miaka 23,kwa miaka isio pungua 7 (saba) nimekuwa nikipitia kipindi kigumu kabisa kiafya hasa kwenye mfumo wangu wa mkojo(urinary system) 1.Nimekuwa nikipata...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Maelezo ya picha,Taulo inaweza kuonekana safi machoni ila imekusanya mamilioni ya bakteria Kwa kunusa tu kipande cha nguo au kukichunguza kwa uangalifu ikiwa hakina mabaka, tunaweza kuamua ikiwa...
1 Reactions
10 Replies
775 Views
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu. Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza...
23 Reactions
125 Replies
12K Views
Na Matilda Welin Makala mwandishi Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi. Miaka...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
.
2 Reactions
15 Replies
760 Views
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu 1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua 2. Saa nne unakula matunda sahani nzima 3. Mchana unapiga msosi...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa... Kuna walio na tatizo...
7 Reactions
69 Replies
18K Views
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa...
6 Reactions
155 Replies
16K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+ Nikienda...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Wajumbe naumwa sana na kiuno mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25 nitumie dawa gani
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Wapendwa salaam. Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni). Lakini endapo mwanaume...
2 Reactions
28 Replies
82K Views
Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende. Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende...
3 Reactions
12 Replies
673 Views
Hii imekaaje wakuu. Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza. Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu...
5 Reactions
12 Replies
756 Views
Tahadhari: VAA BARAKOA KWA SABABU KIFO KIPO NDANI YA COVID-OMICRON MPYA: ⚠️ Tofauti inayoua 💀 lakini haionekani kirahisi 😱 ni: 🔥 Hakuna kikohozi 🗣️ 🔥 Hakuna homa 🌡️ 👉 Dalili zinazojitokeza mara...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Ufafanuzi wa Kisayansi: Utangulizi Katika maisha ya kila siku, tunazoea kuona mapacha wanaotoka kwa mama mmoja na baba mmoja. Lakini je, umewahi kusikia kuhusu mama aliyejifungua mapacha waliotoka...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
✅ H. pylori Management:▶️ Indications for Testing→ Peptic ulcer disease (gastric or duodenal)→ Gastric MALT lymphoma→ Unexplained iron deficiency anemia→ Dyspepsia (age <60 with alarm symptoms or...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Habari za wakati huu. Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…