Tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,005
303
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
 
Umepima HIV?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
Pole sana, hili linaweza kumtokea yeyote na sababu zipo nyingi na hutofautiana kutoka mtu mmoja mpaka mwingine.

Kaa karibu na Mungu, naamini Yeye ndiye "Faraja ya kweli."
 
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
wewe ni ME au KE maana hizo nitabia za KE hasa katika kipindi mzunguko wa hedhi
 
Back
Top Bottom