Habarini za jioni wana jf. Nina moja la kitalaam, ambalo mm limenishinda.
Siku tatu zilizopita mke wangu alifanyiwa kipimo cha ultrasound. Majibu haya kunilizisha kwa umri wa mimba uliopatikana...
Heshima yenu madoctors;
Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.
Habari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo,
Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa...
Mke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni,
Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na...
Habari zenu waungwana,Pamoja na kuwa mtu mzima katika siku ya jana nilikuwa natafuna ubuyu lakini ghafla tu nikajikuta nimemeza ubuyu,je inakuwaje hapo jamani,
Tafadhalini sana naombeni msaada
Kwenu wana jamvi, nina rafiki yangu au tuseme ni ndugu yangu amekuwa na tatizo la mda mrefu la kudumu la nguvu za kiume, na yeye kikubwa kinachomkuta ni kufika kilelen chini ya dk 1 mda mwingne...
Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana...
Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu.
Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa...
Ni kama wiki 3 sasa toka niugue,nilipoteza maji mengi kwa kuhara kwa cku 3,nikalazwa kwa cku 4 na kuwekewa drip 19,... madrip 13 ya maji,1 la glucose na 5 za dawa mbalimbali.Shida inakuja,nimesha...
Helloo Guyz
Habarini jamani
Naombaa msaadaaa mwenye mawazo juu ya Mwanangu.Mtoto wangu ana miezi sita ni mchangamfu sana ila shida yake ni shingo yake bado haijakaza vizuri kabisa na anaangalia...
Straight to the topic.
kwa ufahamu na umri nilionao, nimegundua kuwa siku hizi mama zetu wengi wamekuwa wakijifunguakwa operation(upasuaji) tofauti na miaka kumi au zaidi kurudi nyuma.
Nimejaribu...
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake.
Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe...
Za leo wapendwa natumai mko poa naomba msaada wenu ni kama wiki hivi nimegundua nimepoteza uwezo wa kunusa iwe mnuko au mnukio sisikii chochote iwe chakula, rotion, au kitu kinacho ungua Sijui...
Waku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
WanaJf kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali zinazoomba msaada hasa kwa wanawake kutoridhika wakiwa faragha na hivyo lawama kutumiwa wanaume kwa kutowaridhisha pia wanaume wengi huwa...
Habari wana jamvi?
Nimekuja hapa kuomba msaada kwa Wataalamu wanaoelewa haswa kuhusu tatizo la mtoto mdogo miaka 1 - 4 kutokwa na damu puani wakati wa usiku alalapo.
-Je, tatizo hili husababiswa...
wakuu heshima yenu,wakuu je juna kipimo kingine cha mimba zaidi ya hiv vya kuchovya kwenye mkojo! Mpenzi wangu amemiss bleed kwa 6days now,alikuwa abreed tarehe 24 mwezi huu but til now hajaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.