Vipele kama chunusi mwilini

dyto

New Member
Dec 26, 2017
4
1
Habarini wanajukwaa!

Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili, na vinawasha in tatizo?
 
Habarini wanajukwaa;
Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili,na vinawasha in tatizo?

Ukoo wenu hauna utamaduni kwa kwenda hospitali? Haya basi kapigeni ramli mjue nani kamloga ndugu yako
 
Back
Top Bottom