Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu halafu anza tu Kutiririka na Kuserereka zako tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijui vinaitwa hivi vidude. Kila muda unapoensa ndio vinaongezeka. Msaada kama kuna dawa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi.. -kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito -kuwa na hasira -kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa Nilikuwa napenda kufahamu ni...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari zenu nduguzang wana jf; Kwa ufupi zaidi nikama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu Sio story dhahania hii, kwa vijana na wanandoa walioweng tatzo la kupoteza ham na hisia za mapenzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu Alimaliza period yake tarehe 8 Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa Kupta ujauzto hapo maaana amesex Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kichwa hapo juu kielekezavyo. Hivi ukipima B.pressure na kipimo kukuelekeza kama hivi hapa chini hua inamaanisha kitu gani haswa? .
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Najikita kwenye swali langu moja kwa moja bila kupoteza wakati. >>Nilifanya kipimo cha hiv test cha bio line. Nikasoma majibu ndan ya dk5 hadi 50 the answer wasa negative kwa maana ya line moja...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wapendwa tupitie sehemu ya maandiko kuhusu vyakula visivyofaa kutumiwa na mwanadamu! Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, ,**Wanyama hawa ndio...
3 Reactions
41 Replies
12K Views
Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket? Juisi ya tende je iko vizuri ?
1 Reactions
12 Replies
35K Views
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi. Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri na maumivu makali wakati wa kujamiana. Naombeni msaada wa kitaalamu.
0 Reactions
8 Replies
21K Views
Nilichoma sindano mwezi Wa 9 mwaka Jana ikatakiwa kuisha mwez wa11 katikati ya mwez uo nilitakiwa niingie period but mpaka mwaka huu January sijaona ata tone la damu.nilivoona ivo nikaend kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wataalam wa afya. Sikio langu lilikua linawasha kwa muda mrefu na kutoa nta za langu tofauti na kawaida (zinaelekea na rangi ya usawa) Leo nilifanikiwa kumpeleka binti yangu hospital...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
1 Reactions
57 Replies
19K Views
Sitaki kuwachosha wakuu mimi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miezi tisa kama wanawake okey. Naombeni majibu yenu wakuu.
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Hi, Nimeshika ujauzito ila nimeshindwa kuelewa kama ni wa Rafiki yangu au Mr.. Nilikutana na Rafiki jioni ya siku ya kumi na nne ya mzunguko wangu, usiku nikakutana na mr, baada ya hapo...
1 Reactions
323 Replies
39K Views
Habari ndugu zangu. Poleni na majukumu: Naomba msaada kujua hospital gani kwa Tanzania imeendelea kwa kufanya operation ya mjamzito bila kuacha kovu kubwa? Iwe ya private au government ambayo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam. Mwanangu amepata Tatizo la UTI baada yakumpeleka Hospital Leo Asubuh, Na kilichofanya nimpeleke kupima ni kutokana Na usiku mwili ulipandisha joto Sana mpaka ikawa inaogopesha...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hello, naombeni msaada wa kitaalam, je kuna matatizo yoyote mwanamke kuzaa akiwa na miaka 40? Kama yapo ni yapi na umri wa ukomo kwa mwanamke kuzaa kiafya ni upi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani ni dawa gan ya meno nikitumia kwanza itaondoa ukungu ule mweusi unaokaa kweny meno kam vile ya mvuta sigara dawa zipo nyingi lakini nahitaji kujua dawa moja tu ntajie kwa jina ambayo...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…