Uume kusimama Kiukakamavu siku nzima ni afya au kuna tatizo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,862
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu halafu anza tu Kutiririka na Kuserereka zako tafadhali.

Nawasilisha.
 
Kitaalamu hali hiyo inaitwa priapism na inasababishwa na damu kushindwa kuzunguka kutoka huko yaani kuwa "trapped"
Husababishwa na mambo mbalimbali ila kubwa zaidi ni baadhi ya "pumping pills" Kama viagra nk(sio mara zote)
Sababu nyingine ni matumizi ya madawa ya kulevya na pombe pia kudungwa na wadudu kama spider kunaweza pelekea priapism
Sababu ziko nyingi sana na zinategemea na hali ya kiafya ya mtu. Pia watu wenye sickle cell wako more prone to this condition
Kuhusu dawa MWONE DAKTARI kwani hilo ni tatizo la kiafya
NB:
1Priapism ni pale unaposimamisha kwa zaidi ya masaa manne
2. Ikikupata jaribu kupanda ngazi na kushuka kwa haraka ...inasaidia kuspeed up mzunguko wa damu
 
Back
Top Bottom