Magonjwa ya akili

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
281
170
Wengine wanasema unaweza kua nayo lakini bado unajihisi mzima lakini utendaji wako wa ubongo unapungua kila siku,naombeni ufafanuzi kwa mwenye ufahamu juu ya magonjwa haya.
 
hata bwana yule alisema tumuombee ana stress sana mda mwingine tumsamehe bure.
 
Wengine wanasema unaweza kua nayo lakini bado unajihisi mzima...lakini utendaji wako wa ubongo unapungua kila siku,naombeni ufafanuzi kwa mwenye ufahamu juu ya magonjwa haya...
Ni kweli, unaweza kuwa nayo na ukaishi maisha ya kawaida japo tofauti kidogo na watu wengine ila kuna vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kufanya yajitokeze na kukufanya uwe mgonjwa kabisa, MF vilevi, madawa ya kulevya, hari za maisha na mambo mengine mengi.........
Kwa swali karibu pm au hata hapa nitakujibu
 
Mkuu tiririka yote ujuayo ili tujifunze
 
Ni kweli, unaweza kuwa nayo na ukaishi maisha ya kawaida japo tofauti kidogo na watu wengine ila kuna vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kufanya yajitokeze na kukufanya uwe mgonjwa kabisa, MF vilevi, madawa ya kulevya, hari za maisha na mambo mengine mengi.........
Kwa swali karibu pm au hata hapa nitakujibu
Naam wewe tiririka mkuu...
 
Kwa kuanza ni vyema tukafaham kuwa ugonjwa wa akili ni hali au tatizo linalotokea kwenye ubongo wa binadamu ambalo humpelekea mtu kuwa na shida katika kufikiri, hisia na tabia.

Mfano wa magonjwa ambayo yamezoeleka katika jamii yetu ni kama vile 1. Kuchanganyikiwa (Saikosis), 2. Sonona (Depression) 3. Baipolar, 4. Anxiety (Wasiwasi na hofu kupitiliza) 5. Post traumatic stress (PTSD) na mengine meeengiii sana.....

Vipo visababishi vingi ambavyo vinaweza kumpelekea mtu kupata ugonjwa wa akili, ni pamoja na 1. Kurithi (Genetics), 2. Unhealthy life style km uvutaji bhangi, ulevi kupindukia, utumiaji wa madawa ya kulevya nk..... 3. Hari ya maisha, mf ugumu wa maisha, kupoteza kitu muhim katika maisha (major loss) nk..
4. Hari za mahusiano hasa ya kimapenzi......
5. Ajari mbaya hasa zinazoathiri sehemu ya kichwa
6. Nk (vipo Vingi sana)

SASA SWALI LA KWAMBA MTU ANAWEZA KUKAA UGONJWA WA AKILI KWA MUDA MREFU PASIPO KUTAMBULIKA?

Ni kweli inawezekana kabisa na mara nyingi magonjwa ya akili mengi yana muda wake wa kujitokeza (age of onset) japo kuwa siyo lazima muda ufike.

Kwa mfano mtu mwenye tatizo la kurithi anaweza kukaa na tatizo hilo mpaka hapo atakapokuwa amekutana na predisposing factors (sijui kiswaz chake ni aje) mf ugumu wa maisha na kumpelekea kuwaza sana na badae kuwa na maongo wa mawazo mpaka kupata sonona (Depression). Mf 2, Saikosis (Schizophrenia) inaweza kujitokeza kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya mf uvutaji bhangi nk.
Mengine huwa ni acute na mengine hujitokeza taratibu mf saikosi (schizophrenia) inaweza kuanza kwa mgonjwa kupenda kujitenga, kuanza kuzungumza peke yake, then anaanza kuwa na tabia za ajabu mf kuvua nguo nk...

Mengine kama OCD mtu anaweza kuwa nao lakini akawa hajaonekana kutokana na kazi anazofanya, atatambulika pale anapokuwa amepewa majukumu ya kufanya km ya kiuongozi au kazi yoyote ambayo inahitaji team work vile atakavyokuwa haamini wenzake km wanaweza kufanya kazi vizuri anahakikisha kila kazi ya mtu, anakuwa anapenda kila kitu kiende kwa kufuata kanuni na taratibu anazoziamini yeye (perfectionist) nk hali ambayo anaanza kuwa kero kwa wenzake.

ILI UITE KWAMBA MTU NI MGONJWA LAZIMA TATIZO HILO LILETE SHIDA KATIKA MAHUSIANO NA WENZAKE KAZINI, NYUMBANI NK, LILETE ATHARI KATIKA MFUMO WA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU NA LISABABISHE ATHARI KAZI.

ALL IN ALL, magonjwa ya akili mengi yanatibika though changamoto kubwa ni uhaba wa wataalam hao na kipaumbele cha sekta ya afya bado hakijaona eneo hilo ambalo siku za usoni linatarajiwa kuwa tatizo kubwa.

Ukiwahi hospitali, matibabu na Dawa zipo.
NAOMBA KUWAKILISHA MKUU.

Duh....mahusiano nayo yanachangia vipi
 
Mahusiano ya kimapenzi...
 
Je kuna mahusiano yoyote kati ya magonjwa haya na kukonda?
 
Mkuu, kukonda kupita kiasi pia kunaweza kusababishwa na ugonjwa wa akili Mf. Upo ugonjwa unaitwa anorexia nervosa, huu humfanya mgonjwa kutokupenda kula vyakula vya kujenga na kuupa nguvu mwili lengo akiwa anataka slim body mwisho wa siku inakuwa pathological na hatimaye anapata extremely body wasting.

Lakini pia dalili moja wapo ya baadhi ya magonjwa km ya sonona ni kukupungua sana au kuongezeka sana kwa hamu ya kula, so km itapungua lazima akonde

Lakini pia kama mgonjwa wa schizophrenia anaweza kuwa na ile hali ya kutokujithamin au akawa suspicious kwenye maswala ya chakula.....atakonda tu hakuna namna mkuu.
 
Mkuu, hujawahi kuona namna vibuti vinavyotesaga? Au mahusiano mabovu ndani ya ndoa au wapendanao......mosongo wa mawazo to depression very common hasa kwa wanawake!
Vipi mahusiano ya macho na magonjwa haya...na je yanaweza shusha IQ ya mtu?
 
Back
Top Bottom