Ifahamu penicilline dawa ya bacteria

elixer of life

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
612
596
Habari wana JF
Kuna story nyingi mtaani kwetu kuwa banking soda au chapa maandashi inaweza kupambana na ( UTI ) kifupi ni kwamba UTI ni ugonjwa wa njia ya mkojo unaosababishwa na bacteria anaeenda kwa jina E.coli.

Tunavyojua au kusikia bacteria ni kiumbe hai na kimafanya mabadiliko ya ghafla pale tu kinahisi hatari imeingia kwenye mwili wake.

Hivyo husababisha baadhi ya dawa kuwa nje ya soko kwa sababu hizi za bacteria kufanya mabadili ya ndani. Na hii ni kwa bacteria wote sio huyo wa UTI pekee nimemzungumia E.coli kwakuwa ndio tatizo kubwa leo haswa kwa dada zetu.
Sasa basi kivipi dawa hizi za kuuwa au kupunguza bacteria zinafanya kazi.

Kuna makundi mengi ya antibiotics ila nimechangua kundi moja, kongwe na nguli wa UTI sio kwamba dawa nyingine sio nzuri laahasha.

Cell wall synthesis inhibitors
Kundi hili la dawa linazuia utengenezwaji wa ukuta wa seli ya bacteria hapa kuna sub group nyingi ila nichukue chache tu.
1:penicillin
2:Cephalospoline na nyinginezo.

Nitazungumizia Penicilline ,hapa ndio utawapata akina Ampicillin ,Amoxicillin and clavulanic acid (Co-amoxiclav).nk
Kivipi sasa hii penicilline inafanya kazi hadi bacteria anakufa na ndio yakawa ni matokeo ya wewe kupona ugojwa unaokusumbua.

Twende sawa hapa nitachanganya lugha kidogo maana kuna maneno huku hayana kiswahili.

Bacteria kama bacteria huwa na tabia ya kunadili mfumo wake kila mara kwa kutengeneza na kuvunja sehemu za ukuta wa seli zao kipindi wana kuwa na kindindi wanapo jingawanya. Dawa za Beta-lactam au kwa jina lingine penicilline huwa zinazuia malezi(formation) ya peptidoglycan msalaba viungo ambavyo vinaunganisha ukuta wa seli ya bacteria hii inatokea baada ya kuunganisha memba wa nne wa Beta lactam ring ya penicilline kwenye Kimeng'enya (enzymes) inakwenda kwa jina DD- TRANSPEPTIDASE. Matokeo yake malezi ya wale (peptodoglycan cross-links) msalaba viungo kukosa usawa kati ya uzalishaji wa ukuta wa seli na uharibifu unaendelea na kusababisha seli kufa haraka.

Kwa matokeo haya yanapotoke ukuta wa seli ya bacteria unakuwa dhaifu sana baada ya zile misalaba viungo kuzuiliwa utendeji wake wa kazi, pressure ya ndani inapozidi kuwa kubwa na huku hakuna kitu ya kuzuia hiyo pressure (ukuta wa seli) huyu bacteria atasabaratika kama mfuko uliotia maji ndani yake alafu ukapasuliwa kwa nguvu.
hiyo ni moja kati ya dawa ya penicilline.
Na hiyo ya chini ni baking soda

Sasa basi mtu anakuja na kusema kuwa banking soda au chapa maandishi muulize hivi hiyo chapa maadashi ipo katika kundi gani la dawa za kuuwa au kupunguza bacteria akikupa ushahidi wa kuwa inafanya kazi sehemu hii ya bacteria muulize kivipi?....
Asanteni sana tutaendelea kupeana elimu kwa vitu ambavyo vinaleta utata mtaani kwetu.

Uzi huu unaenda jamii intelligence mod usiupeleke mahala kwingine.
 
Sawa mkuu
 
Mtoa mada naamini hadi umeweza kuelezea kidogo hizo dawa utakuwa umepitia mafunzo angalau ya msingi ya fani za kitabibu.
Kama ndivyo,basi naomba pia utusaidie kutofautisha aina za magonjwa yanayoweza kuwa na dalili kama za U.T.I ili tujue iwapo yote yanaweza kuwa yamesababishwa na bacteria.

Nimewahi kuona mgonjwa akishauriwa kunywa dawa moja inayoitwa "CITAL" na alisikia maumivu kama vile akikojoa mkojo unachoma.Nilipoisoma nikaona ni "Body alkalising agent"Nilipouliza nikaambiwa hali hiyo inaweza kutokea kutokana na sababu mbali mbali ikiwepo matumizi ya baadhi ya dawa,baadhi ya vyakula ama kutokutumia mboga za majani na maji ya kutosha.

Labda najiuliza,huenda kilichomo katika baking powder ambayo kwa kemia yangu ya form 2 ni sodium bicarbonate, haiwezi kufanya hiyo kazi ya ku alkalize mwili?
Najaribu kufikiri kwa sauti...
 
banking soda?..okay
 
Hiyo dawa alipewa ili kupunguza acid kwenye mkojo huko kwenye kidney
 
Watu wanaotetea 'baking powder' kwamba inaweza kupigana na bacteria wa UTI ni kwamba baking powder ni 'base' ambayo ina uwezo waku-neutralize the acid environment kwenye kidney, bladder na ureters

Kwa ilo ni kweli kwamba 'baking powder' inazuia kusambaa kwa uyu bacteria zaidi ila tatizo ni kwamba haina nguvu ya kumuua uyu bacteria

Ukweli zaidi ni kwamba 'baking powder' ina madhara makubwa ya kiafya zaidi
Na ikizidishwa inaweza sababisha 'baking powder poisoning'

Ushauri Wangu

Usitibu UTI kama haujapimwa ni aina gani wa bacteria (culturing of bacteria in a lab) kuweza kubaini dawa ya kupambana na bacteria; asilimia kubwa ya UTI zinasababishwa na E.Coli lakini sio 'cases' zote za UTI

Regard
 
Asante sana mkuu kwa kuongezea mambo hapo
 
Habari wana JF
Kuna story nyingi mtaani kwetu kuwa banking soda au chapa maandashi inaweza kupambana na ( UTI ) kifupi ni kwamba UTI ni ugonjwa wa njia ya mkojo unaosababishwa na bacteria anaeenda kwa jina E.coli.

Tunavyojua au kusikia bacteria ni kiumbe hai na kimafanya mabadiliko ya ghafla pale tu kinahisi hatari imeingia kwenye mwili wake.

Hivyo husababisha baadhi ya dawa kuwa nje ya soko kwa sababu hizi za bacteria kufanya mabadili ya ndani. Na hii ni kwa bacteria wote sio huyo wa UTI pekee nimemzungumia E.coli kwakuwa ndio tatizo kubwa leo haswa kwa dada zetu.
Sasa basi kivipi dawa hizi za kuuwa au kupunguza bacteria zinafanya kazi.

Kuna makundi mengi ya antibiotics ila nimechangua kundi moja, kongwe na nguli wa UTI sio kwamba dawa nyingine sio nzuri laahasha.

Cell wall synthesis inhibitors
Kundi hili la dawa linazuia utengenezwaji wa ukuta wa seli ya bacteria hapa kuna sub group nyingi ila nichukue chache tu.
1:penicillin
2:Cephalospoline na nyinginezo.

Nitazungumizia Penicilline ,hapa ndio utawapata akina Ampicillin ,Amoxicillin and clavulanic acid (Co-amoxiclav).nk
Kivipi sasa hii penicilline inafanya kazi hadi bacteria anakufa na ndio yakawa ni matokeo ya wewe kupona ugojwa unaokusumbua.

Twende sawa hapa nitachanganya lugha kidogo maana kuna maneno huku hayana kiswahili.

Bacteria kama bacteria huwa na tabia ya kunadili mfumo wake kila mara kwa kutengeneza na kuvunja sehemu za ukuta wa seli zao kipindi wana kuwa na kindindi wanapo jingawanya. Dawa za Beta-lactam au kwa jina lingine penicilline huwa zinazuia malezi(formation) ya peptidoglycan msalaba viungo ambavyo vinaunganisha ukuta wa seli ya bacteria hii inatokea baada ya kuunganisha memba wa nne wa Beta lactam ring ya penicilline kwenye Kimeng'enya (enzymes) inakwenda kwa jina DD- TRANSPEPTIDASE. Matokeo yake malezi ya wale (peptodoglycan cross-links) msalaba viungo kukosa usawa kati ya uzalishaji wa ukuta wa seli na uharibifu unaendelea na kusababisha seli kufa haraka.

Kwa matokeo haya yanapotoke ukuta wa seli ya bacteria unakuwa dhaifu sana baada ya zile misalaba viungo kuzuiliwa utendeji wake wa kazi, pressure ya ndani inapozidi kuwa kubwa na huku hakuna kitu ya kuzuia hiyo pressure (ukuta wa seli) huyu bacteria atasabaratika kama mfuko uliotia maji ndani yake alafu ukapasuliwa kwa nguvu.
hiyo ni moja kati ya dawa ya penicilline.
Na hiyo ya chini ni baking soda

Sasa basi mtu anakuja na kusema kuwa banking soda au chapa maandishi muulize hivi hiyo chapa maadashi ipo katika kundi gani la dawa za kuuwa au kupunguza bacteria akikupa ushahidi wa kuwa inafanya kazi sehemu hii ya bacteria muulize kivipi?....
Asanteni sana tutaendelea kupeana elimu kwa vitu ambavyo vinaleta utata mtaani kwetu.

Uzi huu unaenda jamii intelligence mod usiupeleke mahala kwingine.
Mkuu naona umenisogezea Library hapa.

Shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom