Nataka kuwa doctor naombeni ushauri

dutouh

Member
Jan 16, 2018
28
8
Samahani wakuu Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka nikasomee diploma ya clinical officer naomben ushauri kama inafaa pia kuhusu ajira na mshahara wake ukoje kwa sasa.

Thankx
 
ushauri ni kwamba, UDAKTARI au hata kuwa NESI ni wito.... ukiwazia mshahara utakata tamaa ya kazi.
Lakini pia nakishauri kama una nafasi ya kuendelea na masomo ya advance nenda kasome huko kwanza kisha utafika tu ngazi ya chuo.
 
Unawazia mshahara ss hv na hujaingia chuo ukakutana na mimodule migumu kama anatomy couselling na mingineyo pia changamoto z wodin pale unapokutana n dr una present history anakwambia dogo huna kitu......Ebanaeee huuu mchezo hatar sanaaa
 
ushauri ni kwamba, UDAKTARI au hata kuwa NESI ni wito.... ukiwazia mshahara utakata tamaa ya kazi.
Lakini pia nakishauri kama una nafasi ya kuendelea na masomo ya advance nenda kasome huko kwanza kisha utafika tu ngazi ya chuo.
Akienda advance kwa kipindi hiki haitakua rahisi kutoboa hadi udaktari anaweza kuishia kua mwalimu wa chemistry na biology au physics maana usipopata division one udaktari utaishia kuusikia tu
 
Samahani wakuu Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka nikasomee diploma ya clinical officer naomben ushauri kama inafaa pia kuhusu ajira na mshahara wake ukoje kwa sasa.

Thankx
Kwa siku hizi form four kupata clinical officer ni Ndoto,, maana Tanzania hii vyuo vya serikali si zaidi ya vitano.

Afu ifahamike kuwa clinical officer sio DAKTARI hao wanaitwa TABIBU, sema tu ni watanzania wengi wakiona hata nesi wa kiume watamuita Doctor.

Kuwa daktari kwa Tanzania mpaka upige Medical school kwa miaka 5 ongeza mmoja wa internship iwe 6 hapo ni kama mungu amekusaidia wazee hawajakudaka urudie kozi.

If you are A or B student kapige advance miaka yako miwili umalizane. Maana hata clinical officer akitaka kuwa daktari mwendo ni uleule 5+1.

Wasiwasi wangu tu labda ni uwezo wako sifahamu vzr maana game la Advance laweza kupoteza kwenye dira kama uwezo wako ni mdogo ukaishia kupata ki dvn 3! hasa ukienda vishule vya ajabu.

Tathmini uwezo wako kuna msemo wanasema " Doctor can become anybody, but not anybody can become a doctor "
 
Ugumu wa form four kupata ni kwa sababu kuna from six wengi wanao kosa sifa za kujiunga na university kwa kwa kukosa D D as required. Kimbilio lao ni huko CO sasa hawawezi kumuacha formsix wakuchague wewe form four ambae hujue hata Benzene inafananaje.
 
Samahani wakuu Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka nikasomee diploma ya clinical officer naomben ushauri kama inafaa pia kuhusu ajira na mshahara wake ukoje kwa sasa.

Thankx

Try to Consult Doctor Ulimboka please!
 
ushauri ni kwamba, UDAKTARI au hata kuwa NESI ni wito.... ukiwazia mshahara utakata tamaa ya kazi.
Lakini pia nakishauri kama una nafasi ya kuendelea na masomo ya advance nenda kasome huko kwanza kisha utafika tu ngazi ya chuo.
mara nyingi wanao taka short cut ni wenye uwezo mdogo. Kama unajiamini O leve unasimamisha one ya 9, 10 au 11 unaenda zako Kibaha, Ilboru, Mzumbe or Tabora boyz unapiga PCB hapo udaktari utaenda mapema tu usipofanya mapuuza
 
Akienda advance kwa kipindi hiki haitakua rahisi kutoboa hadi udaktari anaweza kuishia kua mwalimu wa chemistry na biology au physics maana usipopata division one udaktari utaishia kuusikia tu
na ndio maana advance asiende kuuza sura, akasome kweli yani msuli tembo
 
mara nyingi wanao taka short cut ni wenye uwezo mdogo. Kama unajiamini O leve unasimamisha one ya 9, 10 au 11 unaenda zako Kibaha, Ilboru, Mzumbe or Tabora boyz unapiga PCB hapo udaktari utaenda mapema tu usipofanya mapuuza
Ni kweli
 
Back
Top Bottom