Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habarini wakuu naomba msaada wakitaalamu kuna kitu kinachoma kifuani upande wa ziwa la kulia linavyochoma ni kama kichomi ila nashindwa kukiita kichomi kwasababu kipo kifuani na sio mbavuni...
2 Reactions
20 Replies
33K Views
Habari za majukumu wakuu. Naomba kufahamu kwa amabao wamekwishafanyiwa upasuaji inachukua muda gani mpaka kidonda kuwa kimepona kabisa.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu waungwana. Nina swali dogo nauliza, je ile damu ya hedhi inaweza kusababisha maambukizi ya virusi vya Ukimwi??
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Wife ana mimba ya miezi mitatu na siku, alipojua ana mimba tu nilimuomba kuanza kwenda hospital mara moja, alipewa vidonge vya Folic acid ambazo alizitumia kwa kipindi chote cha siku 30 sasa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nimetafuna cofta je naweza kutumia kileo chochote?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Nimeona nifuate ushauri wa wajuzi na wazoefu kwenye tasnia hii ya masuala ya Afya na uzazi. Niko na mahusiano na mwanamke kwa takribani mwaka hivi sasa, Imetokea hii January...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Leo nimeenda Hospital mmoja ya mkoa nimefika pale,nikaulizwa Nina bima ni kasema hapana sasa gharama ni kama ifuatavyo; 1.Kufungua faili -2,500/= 2.Kumuona dakitari-10,000/= 3.X-Ray-15,000/=...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu waungwana, Nina swali kidogo nahitaji majibu, je ile damu ya hedhi kwa mwanamke inaweza sababisha maambukizi ya virusi vya UKIMWI?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ukomo wa hedhi ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kuziona siku zake kama ilivyokuwa tangu anavunja ungo. Kitaalamu, hiki ni kipindi ambacho mwili wa mwanamke unaacha kuzalisha homoni za Estrogen...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu mama angu kapata kama stroke ila anatembea ingawa kwa shida, ila ana matatizo mawili, la kwanza kapoteza kumbukunbu, la pili ana shindwa ku sense pale anapohitaji kupata kujisaidia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu nina meno kama sita hivi yametoboka na tayari nishang'oa manne kwa sababu tofauti tofauti.Mawili yalikuwa yameota vibaya na mawili yalikuwa yametoboka haswaa hata kuziba hayafai...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Kila kitu alivyokiweka mwenyeziMungu usikichukulie poa, kina faida lukuki. Kulia ni kutoa machozi kwa uchungu au kwa furaha. Kulia kunaweza kuambatana na kutoa sauti ya kilio au kulia kimyakimya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi kahawa yenye mchanganyiko wa sukari na maziwa (3in1) sugar 15 g per saving inafaa kwa mgonjwa wa Diabete type 2.na kama inafaa mgonjwa wa aina hiyo anashauriwa aitumie mara nga pi kwa siku?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lishe kwa Mgonjwa wa Kisukari: Matunda ni chakula bora, lakini mengi yao yana sukari nyingi kwa hiyo ni vizuri kula si zaidi ya 2-3 kwa siku ukihakikisha kupunguza ulaji wa zabibu, embe, ndizi...
2 Reactions
5 Replies
14K Views
Kuna mdada anaomba ushauri huwa anakaa muda mrefu bila kugegedwa mzunguko wake wa hedhi ni siku 28 ila ikitokea amegegedwa mzunguko wake unabadilika hadi siku 35 asipogegedwa siku 28. Anaomba...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau salama huku. Mwanangu ana miaka 3 na nusu, inatokea mara kwa mara (kama mara 2 hivi ndani ya miezi 4) anakuwa na moto sana mwilini. Ukimpima kwa ile thermometer joto linaonekana la kawaida...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi ni tahadhari gani za kuchukua ukiondoa kuvaa condom kwa mtu mwenye HIV wakati wa kumla? Dr Tito
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Watanzania wengi tunadhani prostate cancer au Tezi dume ni mabusha. Tunaomba Wataalamu watuelezee hapa kitaalam namna Kipimo cha kidole cha Kati kinavyofanya kazi. Pia mashart ya dawa ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu,ni utafit wa wik1,.mstake jua methodology Okay,ni hiv,..kwenye ubongo wa binadam kuna sehem ambayo inatafsiri mambo yoote yahusuyo kutamani then inaamuru vichocheo kwenye mishipa na misuli...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wapenzi Naombeni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nimepima kila kitu sinapati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Back
Top Bottom