Kusex kunasababisha mabadiliko ya hedhi?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,554
45,853
Kuna mdada anaomba ushauri huwa anakaa muda mrefu bila kugegedwa mzunguko wake wa hedhi ni siku 28 ila ikitokea amegegedwa mzunguko wake unabadilika hadi siku 35 asipogegedwa siku 28.

Anaomba ushauri inasababishwa na nini?
 
Always hua unaclaim kua hua unakaa muda mrefu bila sex na unasex mara moja moja si umpe ushauri mwenzio?

Basi mshauri agoogle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom