Msaada wa kiafya: Sipati usingizi usiku, mwili unaishiwa nguvu na miguu kuwaka moto

tembocard

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
247
121
Habari zenu wapenzi Naombeni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nimepima kila kitu sinapati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwani

Nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku,

Nilienda hospitali wakanipa dawa za usingizi nikameza jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nimefka sehemu natamani hata kufa nimekata tamaa
 
Pole sana ndugu huna kitu chochote ambacho ukikifanya unafurahia? ( hata kama ni kwa muda).
 
kwa mtu alie hai na vyuma kama hivi stress haziishi jitahidi ufanye kai itakayokufanya uchoke hata kuchimba shimo la taka kama unalo wachimbie kila jirani anaehitaji
Nimefanya vyote hvyo ila hapalaliki juhudi zimegonga mwamba nateseka jaman
 
Kuna kitu kinachokusumbua japo hujakiweka wazi kwanza kabisa tafuta ufumbuzi wa kitu kinachokusumbua (hicho kinachokupa mawazo) baada ya hapo utakuwa sawa kabisa na utapata usingizi kama kawaida.

Pambana na tatizo, usilikimbie tatizo kwasababu utateseka sana najua unajua ni kitu gani kinachokunyima usingizi tatua tatizo Mungu ni mwema atakusaidia.
 
Fanya mazoezi Sana Mwili uchoke Utalala vzr tu
Nimefanya ndugu yangu mpaka nachoka nikipanda tu kitandani usingizi ukianza naanza kuota vitu vyote nilivyofanya mchana vinajirudia kama nililima ntaota nalima nikimaliza naanza kuota napika Mara nafua yani kazi inakuwa nikuota tu mpaka kunakucha hapalaliki
 
Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
Kipi kinakusibu ambacho kinapelekea hayo mahangaiko??
 
Nimefanya ndugu yangu mpaka nachoka nikipanda tu kitandani usingizi ukianza naanza kuota vitu vyote nilivyofanya mchana vinajirudia kama nililima ntaota nalima nikimaliza naanza kuota napika Mara nafua yani kazi inakuwa nikuota tu mpaka kunakucha hapalaliki
Pia jitahidi kuepuka mawazo ambayo hayatoi solution ya tatizo unaloliwaza maana huo ndo mwanzo wa stress/depression.Usifikirie Vitu ambavyo havina solution
 
Hill tatizo lina sababishwa na kulala mwenyew muda mrefu bila kua na mapenz karibu.
 
Gambe sijawahi kunywa toka nizaliwe ila nafika sehemu kuna roho inanishawishi nijaribu labda itatatua tatzo
Unafkiri wanaokunywa gambe wote wanakunywa ili wapate flavor tuu,..wengne ni matatzo ndo yanapelekea hvyo,na gambe ,ecstacy, cocaine au bang hutumika ku cure hayo matatzo ,ila cocaine na bangi hazitakuacha salama,so option ni pombe for sometime,ukikaa sawa unaacha,..go club,bambia madem,have fun,..ndo zmetengenezwa sabab hyo,utapata new friends etc,its how things go brother,ukikaa sawa unaacha unaendelea na life style yako,
Ila chamuhim ni hiko kinachokusababishia matatzo yoote hayo lazma uki overcome.
 
Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
@tembocard kama uko serious nikute PM nijaribu kukusaidia tafadhali.
 
Back
Top Bottom