Je Sukari 15g kwa mgonjwa wa diabetes type 2 ina madhara?

KYANYINIMARAIGA

Senior Member
Oct 21, 2016
193
126
Hivi kahawa yenye mchanganyiko wa sukari na maziwa (3in1) sugar 15 g per saving inafaa kwa mgonjwa wa Diabete type 2.na kama inafaa mgonjwa wa aina hiyo anashauriwa aitumie mara nga
pi kwa siku?
 
Ukishakuwa mgonjwa wa kisukari sahau kabisa habari ya sukari kwenye vinywaji,matunda yenye sukari nyingi pamoja na vyakula vya wanga

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Ahsante.je mtu wa kawaida asiyeugua ugonjwa huo wa sukari anahitaji gram ngapi za sukari kwa siku(assume ana mazoezi ya kawaida .)
 
Vyakula unavyokula venye wanga na matunda yana sukari ya kutosha kuupa nishati mwili wako.sikari ya viwandani si nzuri sana ktk miili yetu

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Back
Top Bottom