Wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa
Kuangalia njia na kusafishwa uchafu baada ya kujifungua. Hapo lazima mkono wa...
Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba...
📍 Imeandaliwa na:
Hillary Francis Ndeng’aso
Radiographer | Health Educator
📲 IG: @hillary_officialtz
Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba.
BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric...
Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Tanzania yameanza rasmi kuanzia tarehe 10 hadi 16 Juni, 2025, yakiwa na kaulimbiu isemayo: "Mfamasia kiini cha afya kwa wote, ubunifu, uwekezaji na afya jumuishi kwa...
Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa...
ATHARI ZA KUPIMA UTI PASIPO ULAZIMA
Ukienda kupima malaria unaambiwa una UTI. Ukijisikia dalili za homa inayotokana labda na infection kwenye jeraha, dokta anakuambia utapata dawa za kidonda na...
wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mtindo mpya wa kuchoma chapati nyingi kwa wakati mmoja kwenye 'maframpeni' makubwa sehemu za migahawa mikubwa ili kuweza kukidhi huduma kwa wateja kwa haraka.
Lakini...
Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya..
Mtu mwenye ugonjwa huu huwa...
Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani.
Nimetumia dawa kadhaa...
Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna...
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa...
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa...
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga.
Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda...
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni...
Habari wataalamu.
Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa...
Wasiseme sikuumwa.
Usiku wa saa nane ,imepigwa hii simu
Ni kwasababu ya mane, nimeridhi kunywa sumu
Nimeishi kama bene , sikuwa na umuhimu
Wasiseme sikuumwa, Abuu hili liseme
Sikulala miezi...
Habari za muda huu,
Naombeni msaada Mimi nimuajiriwa katika tasisi binafsi ila kutokana na matatizo ya maumivu ya UTI wa mgongo niliomba ruksa yakwenda kufanya hicho kipimo cha MRI mwanza ila ni...